-
"Marekani ni aina mbaya zaidi ya Uistikbari", andiko jipya kwenye ukurasa wa X wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 26, 2025 12:02Akaunti ya mtandao wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya khamenei.ir imetoa mjibizo kwa lugha ya Kihispania yenye hashtag GolfoDeMéxico kujibu hatua ya Marekani ya kulibadilsha jina Ghuba ya Mexico.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu sababu za kuanguka utawala wa Syria
Dec 12, 2024 03:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia hadhara ya matabaka tofauti ya wananchi akigusia matukio ya hivi sasa ya Syria na eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumla, na kueleza sababu za kuanguka utawala wa Syria pamoja na mikakati ya Iran katika kukabiliana na hali ya sasa.
-
Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 01, 2024 11:20Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatua ya Meta ya kufuta akaunti za Ayatllah Khamenei ni kinyume cha sheria
Mar 09, 2024 12:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani hatua ya kampuni ya Meta ya kuondoa akaunti za Instagram na Facebook za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na kusema ni "kinyume cha sheria na na maadili."
-
Uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran
Mar 04, 2024 13:27Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala yetu ya wiki ambayo itaangazia uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran.
-
Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (1)
Nov 19, 2023 06:33Katika kikao chake na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na mabalozi wa nchi za Kiislamu tarehe 18 Februari mwaka huu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran alisema suala la Palestina ni moja ya masuala muhimu zaidi ya ulimwengu wa Kiislamu. Alisema hali ya kusikitisha na kuhuzunisha ya hivi sasa huko Palestina ni matokeo ya kupuuzwa suala hilo na baadhi ya nchi za Kiislamu.
-
Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 11, 2023 11:54Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.
-
Jumamosi, 15 Julai, 2023
Jul 15, 2023 02:47Leo ni Jumamosi tarehe 26 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1444 Hijria mwafaka na tarehe 15 Julai 2023 Miladia.
-
Jumapili, tarehe 4 Juni, 2023
Jun 04, 2023 01:27Leo ni Jumapili tarehe 15 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na Juni 4 mwaka 2023.
-
Nafasi ya Utawala wa Faqihi katika Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2023 12:34Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 44 wa ushidi wa Mapinduzi ya Kiislau ya nchini Iran.