-
Hamasa ya tarehe 9 Dei; Siku ya Ung'amuzi na Muono wa Mbali
Dec 31, 2022 08:22Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, mamilioni ya wananchi wa Tehran na miji mingine hapa nchini walifanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko ya barabarani na himaya ya madola ya Magharibi kwa machafuko hayo.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Visiwa vitatu ni sehemu isiyotenganishika na ya milele ya Iran
Dec 16, 2022 12:00Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Visiwa vitatu ni sehemu isiyotenganishika na ya milele ya Iran ya Kiislamu. Sisi hatuna muhali na mtu yeyote kuhusu umoja wa ardhi yetu na tunachukua hatua bila mzaha".
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (2-Kuigawa Iran, lengo kuu la kistratijia la maadui)
Oct 19, 2022 08:57Moja ya malengo ya kistratijia ya maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu tangu ushindi wa mapinduzi hayo Februari 1979 limekuwa ni kuuangusha mfumo wa Kiislamu na kuigawa Iran.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (nafasi ya vijana katika ushindi na kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu)
Oct 15, 2022 11:57Matukio na machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamewapa maadui wa Iran fursa ya kuzidisha hujuma za kipropaganda na kisiasa na kutoa tathmini za kupotosha na kupindua hakika na ukweli wa mambo.
-
Uhusiano wa Umoja na ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu (Wiki ya Umoja wa Kiislamu)
Oct 11, 2022 06:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema moja ya malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuunda ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu na kuwa lengo hilo haliwezi kufikiwa ila kwa kuwepo umoja wa Shia na Sunni.
-
Ijumaa tarehe 15 Julai 2022
Jul 15, 2022 02:31Leo ni Ijumaa tarehe 15 Mfunguo Tatu Dhulhija 1443 Hijria sawa na Julai 15 mwaka 2022
-
Jumamosi, 04 Juni, 2022
Jun 04, 2022 04:10Leo ni Jumamosi tarehe 4 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah mwaka 1443 Hijria, mwafaka na tarehe 4 Juni 2022 Miladia.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)
Jan 31, 2022 10:42Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.
-
Maduro: Dunia inapaswa kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani
Dec 27, 2021 13:27Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Azma ya Iran na China ya kutekeleza Mapatano ya Miaka 25
Oct 17, 2021 08:07Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Watu wa China wamefanya mazungumzo ya simu na kusisitiza kuwa nchi mbili hizi zina azma ya kutekeleza 'Mapatano ya Miaka 25.'