-
Azma ya Iran na China ya kutekeleza Mapatano ya Miaka 25
Oct 17, 2021 08:07Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Watu wa China wamefanya mazungumzo ya simu na kusisitiza kuwa nchi mbili hizi zina azma ya kutekeleza 'Mapatano ya Miaka 25.'
-
Mwangwi wa chanjo ya corona ya COVIran Barekat aliyopewa Kiongozi Mkuu wa Iran
Jun 27, 2021 02:40Chanjo ya corona aliyopewa Kiongopzi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ambayo imetengenezwa na wataalanu wa ndani ya nchi ya COVIran Barekat imezusha mwangwi mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
-
Siri ya kubakia hai Jamhuri ya Kiislamu katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamuu
Jun 05, 2021 08:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa ubunifu mkubwa zaidi ya hayati Imam Ruhullah Khomeini ni Jamhuri ya Kiislamu, kwa maana ya demokrasia ya kidini ambayo imetambulika rasmi kwa anwani ya Jamhuri ya Kiislamu na kwa anwani ya mfumo wa utawala uliojengeka kwa fikra za taifa la Iran na uongozi wa Imam Khomeini.
-
Ijumaa tarehe 4 Juni 2021
Jun 04, 2021 02:51Leo ni Ijumaa tarehe 23 Mfunguo Mosi Shawwal 1442 Hijria sawa na tarehe 4 Juni mwaka 2021.
-
Jumapili, Aprili 18, 2021
Apr 18, 2021 06:12Leo ni Jumapili tarehe 5 Ramadhani 1442 Hijria Qamaria sawa 29 Farvardin 1400 Hijria Shamsiya ambazo ni sawa na Aprili 18 2021
-
Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran kuhusu JCPOA ziko wazi
Apr 14, 2021 17:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vikwazo na kusema sera za Iran ziko wazi kuhusu JCPOA na vikwazo. Ameongeza kuwa sera hizo amezibainisha wazi kwa wakuu wa nchi kupitia maandishi na katika mikutano.
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu
Feb 07, 2021 06:55Licha ya kupitia milima na mabonde mengi, lakini kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kulinda nafasi na itibari yake ndani na nje ya nchi na ikiwa inaingia katika mwaka wake wa 42, imeongeza kasi yake kuelekea ustaarabu mpya wa Kiislamu.
-
Katika Maktaba ya Qassim Suleimani (mwaka mmoja tangu kuuawa kwake shahidi)
Jan 02, 2021 08:59Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Kiongozi Muadhamu atuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Muhammad Yazdi
Dec 10, 2020 07:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Muhammad Yazdi ambaye alikuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasomi na Wahadhiri wa Chuo cha Kidini cha Qum
-
Jumanne, Julai 14, 2020
Jul 14, 2020 02:27Leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1441 Hijria inayosadifiana na Julai 14 mwaka 2020.