-
Iran, makundi ya Iraq yalaani shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Baghdad
Jan 29, 2022 13:16Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na makundi maarufu ya Iraq yamelaani shambulizi la hivi karibuni la roketi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad, wakisema hatua hizo za "kutiliwa shaka" zinalenga kuyumbisha usalama wa nchi hiyo.
-
Jumatatu tarehe 6 Septemba 2021
Sep 06, 2021 03:50Leo ni Jumatatu tarehe 28 Muharram 1443 Hijria sawa na na tarehe 6 Septemba 2021.
-
Mkutano wa Baghdad, kiwango cha ushiriki na malengo yake
Aug 29, 2021 03:48Mkutano wa nchi jirani na Iraq umeanza leo Jumamosi tarehe 28 Agosti mjini Baghdad.
-
A'saaib Ahlil-Haq: Utawala wa Kizayuni na Marekani ndio waliohusika na mripuko wa Baghdad
Jul 21, 2021 07:53Katibu Mkuu wa harakati ya A'saaib Ahlil-Haq ameashiria njama za Marekani za kutaka kuliimarisha genge la DAESH(ISIS) nchini Iraq na akasema: katika kufanikisha jambo hilo, Washington inasaidiwa na mashirika ya intelijensia ya Israel na nchi za Kiarabu.
-
Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa kwa droni
Jul 06, 2021 08:16Baadhi ya duru za habari za Iraq zimetangaza habari ya kujiri shambulio la anga katika eneo la Kijani huko Baghdad na karibu na jengo la ubalozi wa Marekani.
-
Rais Barham Salih wa Iraq aamuru uchunguzi mlipuko wa hospitali ya wagonjwa wa corona, makumi wamefariki dunia
Apr 25, 2021 09:31Rais Barham Salih wa Iraq ametoa amri ya kufanyika uchunguzi kuhusiana na mlipuko uliotokea mapema leo katika Hospitali ya Ibn Khatib mjini Baghdad iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa corona. Makumi ya wagonjwa wameuawa katika ajali hiyo.
-
Moto waua watu 55 katika hospitali ya wagonjwa wa corona mjini Baghdad, Iraq
Apr 25, 2021 03:22Watu wasiopungua 55 wameaga dunia katika ajali ya moto iliyosababishwa na kuripuka mitungi ya oksijini kwenye hospitali moja ya wagonjwa wa corona katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Papa Francis awasili Baghdad, Iraq katika safari yake ya kihistoria
Mar 05, 2021 13:20Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amewasili Baghdad mji mkuu wa Iraq katika ziara yake ya kihistoria ya siku tatu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Baraza la Usalama lataka kufikishwa mahakamani wahusika wa miripuko ya Iraq
Jan 23, 2021 07:54Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa tamko kali la kulaani mashambulio ya kigaidi ya juzi Alkhamisi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad na limetaka wahusika wote mashambulizi hayo ya umwagaji wa damu wafuatiliwe kisheria na wapandishwe kizimbani.
-
Januari 21; siku ya umwagaji mkubwa wa damu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad
Jan 23, 2021 03:17Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea siku ya Alkhamisi tarehe 21 Januari katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad imeua watu 32 na kujeruhi wengine 110.