-
Miripuko Iraq, muungano wa "Daulat al Qanun" wataka kuangaliwa upya mikakati ya ulinzi Iraq
Jan 22, 2021 03:55Muungano wa "Daulat al Qanun" umelaani vikali miripuko ya kigaidi iliyotokea jana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad na kutaka kuangaliwa upya mipango na mikakati ya kulinda usalama wa maeneo yote ya nchi hiyo.
-
Tishio la Mike Pompeo la kufunga ubalozi wa Marekani mjini Baghdad
Oct 01, 2020 02:27Marekani imekuwa nchini Iraq kwa upana zaidi tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na hadi sasa kuna maelfu ya wanajeshi wake katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Alkhamisi tarehe 17 Septemba 2020
Sep 17, 2020 02:23Leo ni Alkhamisi tarehe 28 Muharram 1442 Hijria sawa na Septemba 17 mwaka 2020.
-
Jaribio la mfumo wa makombora ya kujihami angani ndani ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad
Jul 06, 2020 11:25Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad siku ya Jumamosi ulichukua hatua isiyo ya kawaida na kufanyia majaribio mfumo wa makombora ya kujihami ndani ya ubalozi huo.
-
Maelfu ya Wairaqi waandamana, walaani gazeti la Saudia kwa kumvunjia heshima Ayatullah Sistani
Jul 06, 2020 02:29Maelfu ya Wairaqi wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad wakilaani hatua ya gazeti linalomilikiwa na Saud Arabia la al Sharq al Awsat ya kumvunjia heshima kiongozi mkuu wa kidini nchini humo, Ayatullah Ali Sistani.
-
Jumanne tarehe Pili Juni 2020
Jun 02, 2020 02:24Leo ni Jumanne tarehe 10 Shawwal 1441 Hijria sawa na tarehe Pili Juni 2010.
-
Kiwewe cha Pompeo kuhusu matukio ya hivi karibuni mjini Baghdad, Iraq
Jan 01, 2020 12:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo sambamba na kukariri madai yake bandia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kwamba matukio ya mjini Baghdad, yanatishia maslahi ya nchi yake.
-
Wairaqi wafanya maandamano Baghdad kuunga mkono matamshi ya Ayatullah Sistani
Dec 05, 2019 11:57Wakazi wa mji mkuu wa Iraq, Baghdad wamefanya maandamano makubwa mapema leo chini ya kaulimbiu ya "Timua Waharibifu" wakitangaza uungaji mkono wao kwa kiongozi mkuu wa kidini nchini humo Ayatullah Ali Sistani.
-
Usalama warejea katika mji mkuu wa Iraq baada ya machafuko
Oct 04, 2019 12:14Usalama umerejea katika mji mkuu wa Iraq Baghdad, baada ya machafuko ya siku kadhaa.
-
Jumamosi, 28 Septemba, 2019
Sep 28, 2019 02:37Leo ni Jumamosi tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2019 Miladia.