-
Jumamosi, 28 Septemba, 2019
Sep 27, 2019 23:07Leo ni Jumamosi tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2019 Miladia.
-
Jumatatu, tarehe 8 Julai, 2019
Jul 07, 2019 22:13Leo ni tarehe 5 Dhilqaadi 1440 Hijria sawa na Julai 8 mwaka 2019.
-
Bunge la Iraq lakosoa vikali harakati za kutia shaka za balozi mdogo wa Marekani nchini humo
Apr 15, 2019 23:38Kamati ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq sambamba na kukosoa vikali harakati za kutia shaka za balozi mdogo wa Marekani mjini Baghdad, imesisitiza kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq inatakiwa kuchukua hatua kuhusiana na suala hilo.
-
Jumatatu tarehe 29 Oktoba, 2018
Oct 29, 2018 00:37Leo ni Jumatatu tarehe 19 Safar 1440 Hijria sawa na 29 Oktoba 2018.
-
Jumatatu, Oktoba 8, 2018
Oct 07, 2018 23:02Leo ni Jumatatu tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Oktoba 8, mwaka 2018 Milaadia.
-
Waziri Mkuu wa Iraq azungumza na Barzani kuhusu Kurdistan ya Iraq
Jan 20, 2018 23:39Waziri Mkuu wa Iraq, Haydar al Abadi na Nechirvan Barzani, rais wa utawala wa ndani wa eneo la Kurdistan la Iraq wamefanya mazungumzo kuhusiana na matukio ya hivi karibuni na mgogoro uliozuka baina ya Baghdad na Erbil baada ya Kurdistan kuitisha kura ya maoni ya kujitenga na Iraq.
-
Watu 27 wauawa katika hujuma ya kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Jan 15, 2018 04:19Watu wasiopungua 27 wameuawa na wengine zaidi ya 65 kujuruhiwa kufuatia mashambulizi mawili ya kigaidi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Bajeti na vivuko vya mpakani; hitilafu mpya baina ya Arbil na Baghdad
Nov 03, 2017 03:00Katika hali ambayo eneo la Kurdistan la Iraq limekumbwa na mivutano mikubwa ya ndani, mzozo baina ya eneo hilo na serikali kuu ya Iraq nao ungali unatokota.
-
Alkhamisi 19 Oktoba, 2017
Oct 19, 2017 00:50Leo ni Alkhamisi tarehe 28 Muharram 1439 Hijria sawa na 19 Oktoba, 2017.
-
Serikali ya Iraq yapitisha vikwazo vipya dhidi ya eneo la Kurdistan
Oct 09, 2017 23:37Katika kujibu hatua ya viongozi wa eneo la Kurdistan ya Iraq ya kukiuka katiba na kuitisha kura ya maoni ya kutaka kujitenga na kujitangazia uhuru, serikali kuu ya Iraq imechukua maamuzi mapya ya kuliadhibu eneo hilo.