Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Sheikh Issa Qassim: Kushiriki Bahrain katika muungano wa baharini wa Marekani dhidi ya Yemen ni

    Sheikh Issa Qassim: Kushiriki Bahrain katika muungano wa baharini wa Marekani dhidi ya Yemen ni "aibu"

    Jan 15, 2024 10:19

    Sheikh Issa Qassim Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ameitaja hatua ya Manama ya kushiriki katika muungano wa baharini unaoongozwa na Marekani katika Bahari ya Sham dhidi ya Yemen kuwa ni kitendo kibaya, chenye kutia uchungu na cha fedheha.

  • Al-Wefaq: Bahrain imewasaliti Wapalestina kwa kujiunga na muungano wa US

    Al-Wefaq: Bahrain imewasaliti Wapalestina kwa kujiunga na muungano wa US

    Dec 22, 2023 22:57

    Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain cha al-Wefaq kimesema hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kujiunga na muungano wa baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu ni kusaliti kadhia ya Palestina.

  • Bunge la Bahrain lataka kuangaliwa upya uhusiano wa nchi hiyo na Israel

    Bunge la Bahrain lataka kuangaliwa upya uhusiano wa nchi hiyo na Israel

    Nov 07, 2023 23:29

    Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa la Bahrain amesema Wabunge wa nchi hiyo wanakishinikiza chombo hicho cha kutunga sheria kubatilisha uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Bahrain yasitisha uhusiano wa kibiashara na Israel, yamrejesha nyumbani balozi wake

    Bahrain yasitisha uhusiano wa kibiashara na Israel, yamrejesha nyumbani balozi wake

    Nov 03, 2023 04:34

    Bunge la Bahrain limetangaza kuwa, limesitisha uhusiano wa kiuchumi na utawaa wa Kizayuni wa Israel na kuwaondoa mabalozi wake kutokana na kuendelea mashambulio ya jeshi la Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.

  • Hizbullah yaikosoa Bahrain kwa kuruhusu kufunguliwa ubalozi wa Israel

    Hizbullah yaikosoa Bahrain kwa kuruhusu kufunguliwa ubalozi wa Israel

    Sep 06, 2023 07:06

    Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeujia juu utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain kwa kuuruhusu utawala haramu wa Israel kufungua ubalozi wake katika nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi.

  • Mama wa wafungwa wa kisiasa Bahrain wajiunga na kampeni ya watoto wao ya kususia kula

    Mama wa wafungwa wa kisiasa Bahrain wajiunga na kampeni ya watoto wao ya kususia kula

    Aug 30, 2023 09:59

    Baadhi ya akina mama wa wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain wameanza mgomo wa kususia kula wakipinga hali mbaya ya magereza na kuwaunga mkono watoto wao.

  • Wabahrain waandamana kuwaunga mkono wafungwa waliogoma kula

    Wabahrain waandamana kuwaunga mkono wafungwa waliogoma kula

    Aug 19, 2023 06:50

    Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mjuu Manama, kwa shabaha ya kuwaunga mkono na kusimama pamoja na wafungwa waliogoma kula wakilalamikia hali mbaya ya jela.

  • Jumatatu tarehe 14 Agosti, 2023

    Jumatatu tarehe 14 Agosti, 2023

    Aug 14, 2023 04:17

    Leo ni Jumatatu mwezi 27 Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 Agosti 2023.

  • Upinzani Bahrain wapinga kuajiriwa madaktari wa Israel

    Upinzani Bahrain wapinga kuajiriwa madaktari wa Israel

    Aug 08, 2023 03:52

    Mrengo mkubwa zaidi wa upinzani Bahrain umekosoa vikali azma ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuwaajiri madaktari wa utawala haramu wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Human Rights Watch yakosoa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain

    Human Rights Watch yakosoa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain

    Jul 09, 2023 01:06

    Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekosoa ubaguzi unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo na kutoa mwito wa kuhitimisha ubaguzi huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS