-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuwakamata vijana wa Bahrain
Jun 15, 2023 08:17Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kuwakamata kiholela vijana wa kiume na kike wa nchi hiyo katika maeneo tofauti ya nchi kwa sababu za kisiasa.
-
Wabahrain waujia juu ubalozi wa Marekani mjini Manama kwa kutangaza ushoga nchini humo
Jun 05, 2023 06:48Wananchi wa Bahrain wametangaza hasira na masikitiko yao kutokana na kuwekwa bendera ya mashoga na mabaradhuli kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya ubalozi wa Marekani mjini Manama na uungaji mkono wa ubalozi huo kwa kampeni ya kueneza ushoga nchini mwao.
-
Ijumaa, Mei 12, 2023
May 11, 2023 21:41Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Mosi Shawwal 1444 Hijria sawa na tarehe 12 Mei mwaka 2023 Milaadia.
-
Amnesty International: Utawala wa Bahrain ungali unakandamiza uhuru wa kujieleza
Apr 01, 2023 05:49Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, utawala wa kifalme wa Bahrain umeendelea kukandamiza uhuru wa kujieleza na kuendelea kuwashikilia wafungwa raia wanaoukosoa utawala huo.
-
Jumuiya ya al-Wifaq: Bahrain imegeuzwa na kufanywa kaburi la haki za binadamu
Mar 06, 2023 04:11Jumuiya ya Kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imetangaza kuwa, nchi ya Bahrain imegeuzwa na kufanywa kuwa kaburi la haki za binadamu na kwamba, haipaswi kughafilika na hatua zinazochukuliwa na utawala huo ambazo ni kinyume cha sheria.
-
Kuendelea ukandamizaji wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa wa kisiasa katika kukaribia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi
Jan 28, 2023 23:05Katika kukaribia maadhimisho ya kutimia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi wa Bahrain, utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain unawazuia wafungwa wa kisiasa nchini humo kuwasiliana na kuoana na familia zao katika fremu ya sera zake za ukandamizaji na kuwawekea mbinyo na vizingiti mbalimbali wafungwa wa kisiasa na wapinzani nchini humo.
-
Mwanazuoni wa Bahrain: Ni haramu kuwauzia ardhi Mayahudi
Jan 07, 2023 03:40Imamu Sala ya Ijumaa katika mji wa Al-Diraz nchini Bahrain, amesema kuwauzia ardhi Wayahudi ni sawa na kuiuza nchi na ni haramu.
-
Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 26, 2022 04:06Wananchi wa Bahrain wameandamana kulalalamikia na kulaani hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Wabahrain waandamana kulaani safari ya Rais wa Israel nchini kwao
Dec 05, 2022 22:47Maandamano makubwa ya kupinga safari ya Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel yamefanyika katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
-
Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu
Nov 14, 2022 07:27Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel anayetazamiwa kuunda serikali mpya ya utawala wa Kizayuni amemualika Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Bahrain, Salman bin Hamad Aal Khalifah kuitembelea ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina la Israel.