-
Safari ya Papa na mchezo mpya wa Al Khalifa; Uvumilivu kwa wasio Waislamu na ukatili dhidi ya Waislamu wa Bahrain
Nov 06, 2022 22:45Safari ya Kiongozi wa Kanisa katoliki Duniani, Papa Francis, nchini Bahrain kwa ajili eti ya kushiriki katika mkutano wa "Amani na Kuishi Pamoja" imefanyika katika hali ambayo hakushuhudiwi amani wala kuishi pamoja kwa usalama nchini Bahrain.
-
Sheikh Isa Qassim: Uchaguzi ujao unalenga kuimarisha udikteta Bahrain
Nov 03, 2022 22:54Kiongozi mashuhuri wa kidini nchini Bahrain amesema uchaguzi ujao wa Bunge nchini humo hauna lengo jingine isipokuwa kuimarisha mienendo ya kiimla na kidikteta ya watawala wa Aal-Khalifa.
-
Ukiukwaji wa haki za binadamu; ombi la makundi ya kutetea haki za binadamu kwa Papa
Nov 02, 2022 04:35Taasisi 9 za kutetea haki za binadamu zimetangaza kuwa, Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani akiwa ziarani huko Bahrain anapasa kutoa wito kwa watawala wa nchi hiyo ili wakomeshe hatua zao za kukiuka haki za binadamu.
-
HRW: Utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani
Oct 31, 2022 22:58Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani.
-
Wanazuoni wa Bahrain wanaosota jela: Tunatumai Papa Francis atazungumza neno la haki
Oct 26, 2022 09:27Wanazuoni wa Bahrain wanaosota kwenye jela za utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa ukoo wa Aal Khhalifa wameeleza katika taarifa waliyotoa kumhutubu Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis kwamba, wanatumai kiongozi huyo wa kidini atasema ukweli na kuitikia wito wa imani katika ziara yake ijayo huko Bahrain.
-
Sheikh Isa Qassem: Viongozi wa dini mbalimbali msiamini madai ya utawala wa Bahrain
Oct 22, 2022 09:02Kiongozi wa kidini wa Mapinduzi ya Bahrain amewataka washiriki wa kongamano la viongozi wa dini duniani wasiamini kaulimbiu na madai ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo kuhusu watu kuishi kwa amani na masikilizano.
-
Bahrain yajiondoa kwenye uchaguzi wa taasisi ya UN kufuatia ukosoaji
Oct 05, 2022 23:50Bahrain imelazimika kujiondoa kwenye uchaguzi ujao wa kuwasaka wanachama wapya wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kufuatia jitihada na lalama za asasi za kutetea haki za binadamu juu ya rekodi nyeusi ya serikali ya Manama.
-
BCHR: Hali ya kibinadamu katika gereza kuu la Jau Bahrain ni mbaya
Sep 19, 2022 21:54Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain (BCHR) kimetangaza kuwa, hali ya wafungwa wanaoshikiliwa katika gereza la Jau nchini humo ni mbaya sana.
-
Bahrain inaongoza kwa idadi ya wafungwa wa kisiasa Uarabuni
Sep 14, 2022 03:11Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain (BCHR) kimesema Bahrain inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wafungwa wa kisiasa miongoni mwa nchi zote za Kiarabu.
-
Jumuiya ya al-Wifaq: Uchaguzi ujao wa Bunge Bahrain ni wa kuimarisha dhulma
Sep 10, 2022 23:59Jumuiya ya Kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imetangaza kuwa, uchaguzi ujao wa Bunge nchini humo ni wenzo na chombo cha kuimarisha dhulma na kuendelea ufisadi