-
Idadi kubwa ya watu wa Saudia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano na utawala haramu wa Israel
Jul 20, 2022 03:27Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, idadi kubwa ya watu wa Saudi Arabia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano baina ya nchi hizo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Uungaji mkono wa wanazuoni wa Bahrain kwa mpango wa Sheikh Isa Qassim; umoja wa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa
Jul 07, 2022 02:22Kwa kuunga mkono taarifa iliyotolewa na Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kidini, dhidi ya utawala wa Aal Khalifa, wanazuoni wa Bahrain wamesisitiza udharura wa kuwepo umoja miongoni mwa wapinzani wa utawala wa kidikteta wa nchi hiyo.
-
Saudia yaendeleza sera za kuwaua Mashia, vijana wawili wahukumiwa kumyongwa
May 21, 2022 07:47Mahakama ya Juu ya Saudia imeendeleza sera za kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia kwa kuidhinisha hukumu ya kuwanyonga vijana wawili raia wa Bahrain.
-
Alkhamisi tarehe 12 Mei 2022
May 12, 2022 03:58Leo ni Alkhamisi tarehe 10 Shawwal 1443 Hijria sawa na tarehe 12 Mei mwaka 2022.
-
Upinzani Bahrain wataka kutimuliwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani
Apr 07, 2022 01:57Kundi moja la upinzani nchini Bahrain limelaani uwepo wa vikosi vya majini vya Marekani nchini humo na kusisitiza kuwa, wakati umefika wa kufunga kambi ya kijeshi na kuwafukuza wanajeshi wa US katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Machi 14, 2022; mwaka wa 11 wa uvamizi wa kijeshi wa Saudia huko Bahrain
Mar 16, 2022 00:35Mnamo Machi 14, 2011, Saudi Arabia iliivamia rasmi Bahrain chini ya kivuli cha Ngao ya Kisiwa, uvamizi ambao sasa umeingia katika mwake wake wa 11.
-
Wabahrain waandamana kulaani safari ya mkuu wa majeshi ya Israel
Mar 11, 2022 08:08Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani safari ya Luteni Jenerali Aviv Kochavi, Mkuu wa Majeshi ya Israel nchini humo, sanjari na kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mfalme wa Bahrain atembelea Saudia mkesha wa mwaka wa 11 wa kampeni ya kijeshi
Mar 05, 2022 02:44Katika hali ambayo siku 10 zijazo itatimia miaka 10 tokea utawala wa Saudi Arabia utume wanajeshi wake Bahrain katika kampeni ya kukandamiza wananchi, mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa Aal Khalifa ametembelea Saudia na kufanya mazungumzo na watawala wa Riyadh.
-
Bendera za Israel zateketezwa kwa moto Bahrain kulaani safari ya Bennett
Feb 17, 2022 02:37Waandamanaji wenye hasira nchini Bahrain wameteketeza kwa moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel wakilaani safari ya siku mbili ya Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Naftali Bennet katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Al Wifaq: Safari ya Bennet mjini Manama ni hiyana ya utawala wa Aal Khalifa kwa wananchi wa Bahrain
Feb 16, 2022 11:53Jumuiya ya kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imeitaja safari ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni huko Manama mji mkuu wa Bahrain kuwa ni hiyana ya utawala wa Aal Khalifa kwa watu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, safari hiyo inakiuka maadili na ni kitendo chenye lengo la kuyachochea mataifa ya Kiarabu na Kiislamu.