-
Al Wifaq: Safari ya Bennet mjini Manama ni hiyana ya utawala wa Aal Khalifa kwa wananchi wa Bahrain
Feb 16, 2022 11:53Jumuiya ya kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imeitaja safari ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni huko Manama mji mkuu wa Bahrain kuwa ni hiyana ya utawala wa Aal Khalifa kwa watu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, safari hiyo inakiuka maadili na ni kitendo chenye lengo la kuyachochea mataifa ya Kiarabu na Kiislamu.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Israel Bahrain katika siku ya kumbukumbu ya mwamko wa Februari 14
Feb 16, 2022 11:04Naftali Bennett Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel hivi karibuni amefanya safari huko Bahrain kwa mwaliko rasmi wa Mfalme Hamad bin Isa wa nchi hiyo, ikiwa ni katika kumbukumbu ya mwaka wa 11 wa mwamko wa watu wa nchi hiyo dhidi ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa.
-
Mwaka wa 11 wa mwamko wa wananchi; mpasuko kati ya ukoo wa Al Khalifa na watu wa Bahrain waongezeka
Feb 14, 2022 12:31Februari 14, 2022 inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 11 ya mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa.
-
Sheikh Qassim: Waislamu wakabaliane na mwenendo wa kuanzishwa uhusiano na Israel
Feb 14, 2022 07:44Kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain ametoa wito wa kusimama kidete Waislamu katika kukabiliana na mwenendo wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Al-Wifaq: Wananchi wa Bahrain wataendelea kudai haki zao kwa njia ya amani
Jan 13, 2022 11:41Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wataendelea kudai haki zao kwa njia ya amani na kwamba, katu hawatasalimu amri katika njia hiyo.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (37)
Jan 10, 2022 16:50Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yapinga madai yasiyo na msingi ya Bahrain
Nov 25, 2021 04:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa jibu kwa tamko la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain na kusema, madai yoyote ya wakuu wa Manama kuhusu kugundua silaha na mada za milipuko zinazohusishwa na Iran hayakubaliki.
-
Kongamano la usalama la Manama; kutokuwa na natija mikutano ya usalama kama hii kwa ajili ya eneo la Asia Magharibi
Nov 24, 2021 02:28Kongamano la 17 la usalama wa Asia Magharibi linalojulikana kama Mazungumzo ya 2021 ya Manama lilimalizika hivi karibuni nchini Bahrain.
-
Wananchi wa Bahrain wwandamana kuwaunga mkono wafungwa wa kisiasa
Nov 22, 2021 08:10Wananchi wa Bahrain wameandamana wakiwaunga mkono wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo na kutoa wito wa kuachiliwa huru wafungwa hao.
-
Aal-Khalifa yashadidisha ukandamizaji dhidi ya Wabahrain
Nov 01, 2021 03:09Vikosi vya usalama vya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain vimewatiwa mbaroni wanaharakati wengine wa kisiasa wanaoupinga na kuukosoa utawala huo wa kiukoo.