Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

  • Itifaki ya kimataifa kuhusu haki ya Wapalestina ya kujiainishia  hatima yao

    Itifaki ya kimataifa kuhusu haki ya Wapalestina ya kujiainishia hatima yao

    Dec 19, 2025 02:18

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limeunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiainishia hatima na mustakabali wao.

  • Azimio jipya la Baraza Kuu la UN; Msimamo wa kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Azimio jipya la Baraza Kuu la UN; Msimamo wa kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Dec 14, 2025 02:06

    Sambamba na Israel kukiuka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio jipya linaloitaka Tel Aviv kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuhusu eneo hilo la Palestina. 

  • Baraza Kuu la UN lapasisha azimio la kuitaka Israel iondoe vizuizi vya msaada Gaza

    Baraza Kuu la UN lapasisha azimio la kuitaka Israel iondoe vizuizi vya msaada Gaza

    Dec 13, 2025 02:49

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio linaloitaka Israel kuruhusu kutolewa kwa huduma za kibinadamu pasi na vikwazo na vizingiti katika Ukanda wa Gaza.

  • Mamdani: Ikiwa Netanyahu atakuja New York katika mkutano ujao wa UNGA nitaamuru akamatwe

    Mamdani: Ikiwa Netanyahu atakuja New York katika mkutano ujao wa UNGA nitaamuru akamatwe

    Nov 17, 2025 10:49

    Meya Mteule wa jiji la New York Zohran Kwame Mamdani ameambia televisheni ya ABC News kwamba atatoa hati ya kukamatwa waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu endapo ataingia ndani ya ardhi ya Marekani mwaka ujao kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

  • Rais Pezeshkian: Baraza Kuu la UN ni fursa adhimu ya kubainisha misimamo yetu

    Rais Pezeshkian: Baraza Kuu la UN ni fursa adhimu ya kubainisha misimamo yetu

    Sep 23, 2025 07:19

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusiana na mipango na malengo ya safari yake ya New York ya kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: "tutatangaza misimamo yetu kwa kuzingatia amani na usalama katika Umoja wa Mataifa."

  • Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Hali ya Ghaza haikubaliki, vita lazima vikome

    Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Hali ya Ghaza haikubaliki, vita lazima vikome

    Sep 23, 2025 06:30

    Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Annalena Baerbock ameuambia mkutano wa suluhisho la mataifa mawili uliofanyika makao makuu ya umoja huo jana Jumatatu: "nchi-dola huru ya Palestina lazima ianzishwe".

  • Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?

    Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?

    Sep 22, 2025 11:20

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka kwenye hali ya tahadhari kukabiliana na matukio yanayoweza kutokea baada ya baadhi ya nchi za Magharibi kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Je, dunia mara hii ina nia ya kufanikisha kuasisiwa nchi huru ya Palestina?

    Je, dunia mara hii ina nia ya kufanikisha kuasisiwa nchi huru ya Palestina?

    Sep 13, 2025 11:22

    Katika hatua ya kihistoria, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio lililopendekezwa na Ufaransa na Saudi Arabia, na kutangaza kuunga mkono kuanzishwa kwa nchi huru la Palestina na kutekelezwa njia ya ufumbuzi wa serikali mbili.

  • Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Dec 13, 2024 14:49

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa wingi wa kura maazimio mawili yanayotoa wito wa kusitishwa mara moja vita vya Gaza na pia kuunga mkono shughuli za Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Rais wa Iran ahitimisha safari yake ya siku tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia mjini New York, UN

    Rais wa Iran ahitimisha safari yake ya siku tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia mjini New York, UN

    Sep 26, 2024 07:21

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye alisafiri kwenda mjini New York kushiriki katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), ameondoka mjini humo usiku wa kuamkia leo kurejea Tehran baada ya siku tatu za mikutano na mashauriano ya kina ya kidiplomasia aliyofanya huko.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS