-
Afrika yaanza kutengeneza dawa za kukabiliana na UKIMWI
Aug 05, 2025 07:47Nchi za Afrika zilizoko kusini mwa jangwa la Sahara zimepiga hatua muhimu kuelekea kujitegemea zaidi katika masuala ya afya kupitia hatua ya hivi karibuni zaidi ya kutengeneza dawa za kukabiliana na Virusi Vya Ukimwi, (VVU).
-
Nini madhumuni ya barua mpya ya Iran kwa Baraza la Usalama kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Iran?
Jul 13, 2025 02:35Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, na kuwasilisha ripoti iliyosasishwa kuhusu uharibifu uliosababishwa na uvamizi mkubwa wa kijeshi na wa bila ya sababu wa utawala wa Israel dhidi ya Iran.
-
Majibu ya Tehran kwa Shutuma za Uongo za Ufaransa Kuhusu Mpango wa Nyuklia wa Amani wa Iran
May 01, 2025 02:18Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeed Iravani, amewatumia barua Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea kuwa madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwamba Iran iko "katika hatua ya mwisho" ya kuzalisha silaha za nyuklia ni yasiyo na msingi na kisiasa ni hatua isiyo ya uwajibikaji. Iran haijawahi kuwa na nia ya kutafuta silaha za nyuklia na haijabadilisha sera yake ya ulinzi.
-
Ujumbe unaogongana wa Marekani kwa Iran: Salamu za Nowruz zilizowekwa viungo vya kushadidisha vikwazo
Mar 23, 2025 02:22Katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa 1404 Hijiria Shamsia, Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran vikwazo vipya, ambavyo vinalenga idara kadhaa, meli na watu binafsi, huku Rais Donald Trump wa nchi hiyo, akidai kuwatakia Wairani heri ya mwaka mpya. Kwa maneno mengine ni kuwa, salamu za Nowruz za Wamarekani kwa Wairani zimewekwa viungo vya kushadidisha vikwazo na mashinikizo dhidi yao.
-
Mgongano wa maneno na vitendo vya seriakli ya Trump kuhusu Iran
Mar 16, 2025 02:18Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuzungumzia mara kwa mara nia yake ya kufanya mazungumzo na Iran katika miezi ya kwanza ya muhula wake wa pili wa urais na hata kutuma barua kuhusiana na suala hilo kwa Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, lakini kivitendo amekuwa akitekeleza mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran na kuchukua hatua mpya katika uwanja huo kila siku.
-
Iran yachunguza barua ya Rais wa Marekani
Mar 14, 2025 02:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa baada ya tathmini na uchunguzi kamili wa barua ya Rais wa Marekani kwa Iran, uamuzi utachukuliwa kuhusu jinsi ya kujibu barua hiyo.
-
Araqchi: Barua ya Trump imepokewa
Mar 13, 2025 07:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mazungumzo aliyofanya jana na Mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais wa Imarati na kuandika: 'Nimepokea pia barua kutoka kwa Rais wa Marekani.'
-
Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama baada ya Israel kukiri ilihusika na mauaji ya Ismail Haniyeh
Dec 25, 2024 12:07Amir Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa jana Jumanne alimwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisisitiza kwamba, Israel imebeba dhima ya kuhusika na mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh, mkuu zamani wa Idara ya Siasa ya harakati ya Hamas.
-
Iran yapinga madai ya 'Troika ya Ulaya' kuhusu kadhia ya nyuklia
Dec 05, 2024 02:57Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtumia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na Baraza la Usalama akisema kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi ya Tehran hazina msingi wowote na zina malengo ya kisiasa. Amir Saeid Iravani ameeleza hayo kufuatia tuhuma zilizotolewa na wawakilishi wa Troika ya Ulaya dhidi ya Tehran. Troika hiyo inajumuisha Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu kwa wanachuo wa Marekani
Jun 01, 2024 10:24Ifuatayo ni barua ya Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, aliyowaandikia wanachuo wa vyuo vikuu vya Marekani kufuatia utetezi wao wa kijasiri kwa maslahi ya watu wa Palestina.