-
Bunge la wazayuni washupalia vita zaidi katika historia ya Israel laanza kazi rasmi
Nov 17, 2022 02:20Bunge jipya la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel (Knesset) limeanza kazi rasmi huku vyombo vya habari vikilitaja kuwa ni Knesset ya "wenye misimamo mikali zaidi na washupalia vita zaidi" katika historia ya utawala huo.
-
Bunge la Djibouti laiweka FRUD katika orodha ya makundi ya kigaidi
Oct 14, 2022 07:45Bunge la Djibouti limeliweka kundi la wabeba silaha la Front for the Restoration of Unity and Democracy (FRUD) katika orodha ya magenge ya kigaidi.
-
Al-Halbousi: Uthabiti wa Iraq si kipaumbele cha Marekani kwa sasa
Sep 30, 2022 07:26Spika wa bunge la Iraq amesema, uungaji mkono wa Marekani kwa Iraq zaidi ni wa vyombo vya habari kuliko wa kiuhalisia na kwamba uthabiti wa Iraq si kipaumbele cha Washington kwa sasa.
-
Knesset yapiga kura ya kulivunja bunge hilo la utawala wa Kizayuni
Jun 23, 2022 03:43Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limepiga kura ya kujivunja, na hivyo kuandaa mazingira ya uwezekano wa kurejea madarakani kwa kinara wa chama cha Likud, Benjamin Netanyahu, huku baraza la mawaziri la muungano wa Waziri Mkuu, Naftali Bennett, likiporomoka.
-
Alkhamisi tarehe 23 Juni 2022
Jun 23, 2022 02:24Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Dhulqaada 1443 Hijria sawa na Juni 23 mwaka 2022.
-
Yaliyojiri katika kikao cha kwanza cha Bunge la Lebanon
Jun 03, 2022 02:41Kikao cha kwanza cha bunge la Lebanon kimefanyika kwa kuchaguliwa Spika na Naibu Spika wa bunge hilo.
-
Bunge la Iraq lapasisha sheria ya kupiga marufuku kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
May 27, 2022 11:10Bunge la Iraq limepasisha kwa kauli moja sheria ya kupiga marufuku ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Kuvunjwa Bunge la Tunisia
Apr 01, 2022 07:42Rais Kais Saied wa Tunisia amelivunja Bunge la nchi hiyo kufuatia kushtadi mivutano ya kisiasa nchini humo.
-
Rais Kais Saied wa Tunisia avunja Bunge, asema kuna jaribio la mapinduzi
Mar 31, 2022 03:12Rais wa Tunisia, Kais Saied jana Jumatano alitangaza kuvunja Bunge muda mfupi baada ya bunge hilo kupitisha sheria ya kufuta hatua za dharura zilizotangazwa na kiongozi huyo majira ya joto mwaka jana.
-
Upinzani Afrika Kusini wakituhumu chama tawala kuliteketeza kwa moto jengo la Bunge
Jan 03, 2022 12:18Mmoja wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini Afrika kusini amekituhumu chama tawala cha Kongresi ya Taifa cha nchi hiyo (ANC) kuwa kimehusika na moto ulioteketeza kikamilifu sehemu ya jengo la Bunge la nchi hiyo.