-
Kuvunjwa Bunge la Tunisia
Apr 01, 2022 07:42Rais Kais Saied wa Tunisia amelivunja Bunge la nchi hiyo kufuatia kushtadi mivutano ya kisiasa nchini humo.
-
Rais Kais Saied wa Tunisia avunja Bunge, asema kuna jaribio la mapinduzi
Mar 31, 2022 03:12Rais wa Tunisia, Kais Saied jana Jumatano alitangaza kuvunja Bunge muda mfupi baada ya bunge hilo kupitisha sheria ya kufuta hatua za dharura zilizotangazwa na kiongozi huyo majira ya joto mwaka jana.
-
Upinzani Afrika Kusini wakituhumu chama tawala kuliteketeza kwa moto jengo la Bunge
Jan 03, 2022 12:18Mmoja wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini Afrika kusini amekituhumu chama tawala cha Kongresi ya Taifa cha nchi hiyo (ANC) kuwa kimehusika na moto ulioteketeza kikamilifu sehemu ya jengo la Bunge la nchi hiyo.
-
Mjadala kuhusu mswada katika bunge la Kenya waibua mapigano
Dec 29, 2021 16:14Kikao cha Bunge la Kenya kimebadilika na kuwa ulingo wa ndondi baada ya wabunge kadhaa kuanza kupigana wakati mjadala ukiendelea kuhusu muswada wa muungano ulioibua mgawanyiko.
-
Hassan bin Abdullah al Ghanim achaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Qatar
Oct 27, 2021 04:06Hassan bin Abdullah al Ghanim amechaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Qatar baada ya kupigiwa kura 37 za 'ndiyo' na wabunge wa bunge hilo lililoundwa kupitia uchaguzi wa hivi karibuni.
-
Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya nchi hiyo
Sep 22, 2021 03:22Abdallah Bilhaq Msemaji wa bunge la Libya lenya makao yake katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi hiyo jana adhuhuri alitangaza kuwa bunge hilo limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya hiyo.
-
Baada ya mkwamo wa miezi 13 hatimaye agizo la kuunda serikali mpya ya Lebanon lasainiwa
Sep 11, 2021 03:11Agizo la kuundwa serikali ya Lebanon limesainiwa rasmi na Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.
-
Kurefusha Rais wa Tunisia muda wa kusimamishwa shughuli za Bunge
Aug 25, 2021 02:42Licha ya malalamiko ya kila upande, lakini Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kuwa, shughuli za Bunge la nchi hiyo zitaendelea kusitishwa kwa muda usiojulikana.
-
Poland yakataa kulipa fidia kwa Marekani na Israel
Aug 15, 2021 02:24Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amepinga ukosoaji uliolenga hatua ya Bunge la nchi hiyo ya kupasisha sheria mbili zinazohusiana na umiliki wa vyombo vya habari na Holocaust na kusema kuwa, hakuna uwezekano wa kuruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kumiliki vyombo vya habari vya Poland.
-
Mbunge wa Ulaya: Israel inafanya jinai kwa kuungwa mkono na Marekani na Ulaya
May 13, 2021 02:14Mbunge mmoja wa Ireland katika Bunge la Ulaya amesema kuwa mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhlumu na wasio na ulinzi wa Palestina ni mauaji ya kizazi na kwamba, jinai hizo zisingelifanywa na Wazayuni kama si uungaji mkono wa pande zote wa Marekani na Ulaya kwa Israel.