-
Bunge la Nigeria lataka kushughulikiwa tatizo la ukosefu wa usalama unaoikabili nchi
Apr 29, 2021 08:05Bunge la Nigeria limepasisha maazimio kadhaa yanayomtaka Rais wa nchi, vikosi vya ulinzi na jeshi la polisi nchini humo kushughulikia tatizo la ukosefu wa usalama katika baadhi ya majimbo ya nchi hiyo ambalo limekuwa likiyatesa maeneo hayo kwa miaka kadhaa sasa.
-
Kamati za Bunge la Kenya zatuhumiwa kula rushwa na kufanya ufisadi
Apr 13, 2021 13:42Kamati za Bunge la Kenya zimetuhumiwa kuwa zinakula rushwa na kuhusika na ufisadi kutokana na wabunge wanaosimamia kamati hizo kufumbia macho uhalifu na mashtaka yanayowasishwa mkabala wa kula rushwa na kupokea hongo.
-
Bunge la Iran lapinga kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua
Apr 04, 2021 12:01Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepinga pendekezo la kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua.
-
Wabunge 172 Iraq watia saini mpango wa kutaka bunge livunjwe
Mar 22, 2021 02:30Mirengo kadhaa ya Bunge la Iraq imewasilisha mpango wa kutaka bunge hilo livunjwe ili kufanyike uchaguzi wa mapema.
-
Majina ya mawaziri wa serikali ya mpito ya Libya yawasilishwa bungeni kupigiwa kura ya imani
Feb 27, 2021 07:02Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Libya amewasilisha bungeni majina ya mawaziri aliowapendekeza kwa ajili ya kuunda serikali kwa madhumuni ya kuhitimisha hali ya mchafukoge nchini humo.
-
Kuvunjwa Bunge na mwanzo wa kipindi kipya cha kisiasa nchini Algeria
Feb 20, 2021 10:17Katika miaka ya karibuni Algeria imekumbwa na misukosuko na matukio mengi ya kisiasa. Tukio la karibuni kabisa nihatua ya Rais Abdelmadjid Tebboune wa nchi hiyo ya kulivunja Bunge na kuitisha uchaguzi wa mapema. Tebboune alitangaza hatua hiyo Alkhamisi iliyopita katika hotuba yake kwa taifa iliyotolewa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Shahidi.
-
Bunge la Algeria lavunjwa; rais aitisha uchaguzi
Feb 19, 2021 07:07Rais wa Algeria ameagiza kuvunjwa bunge la nchi hiyo. Rais Abdul Majid Tebboune wa Algeria jana usiku alisema kuwa amelivunja bunge ili kuendesha uchaguzi pasina ufisadi na kuandaa fursa za ajira kwa ajili ya nguvu kazi ya vijana nchini humo.
-
Hatua mpya ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
Feb 19, 2021 02:23Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na kushadidi mashinikizo dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa unaonekana kushtadi na kuchukua mkondo mpana zaidi katika miaka ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Spika wa Bunge la Kuwait: Nchi yetu inapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Jan 20, 2021 07:51Spika wa Bunge la Kuwait amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, msimamo wa nchi yake kuhusiana na Palestina uko thabiti na si wenye kubadilika na kwamba, nchi hiyo inapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Wanajeshi wa Marekani nchini Iraq; mwaka mmoja baada ya kupasishwa mpango wa Bunge
Jan 06, 2021 02:45Jumanne ya jana tarehe 5 Januari ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Bunge la Iraq lilipopasisha mpango wa kufukuzwa nchini humo askari wa Marekani.