-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa
Dec 28, 2020 00:21Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
-
Kuvunjwa Bunge la 'Knesset' na upeo wa kisiasa wa utawala haramu wa Israel
Dec 25, 2020 09:31Bunge la utawala haramu wa Israel Knesset lilivunjwa rasmi usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita ambapo kwa kusambaratika serikali ya muungano, sasa uchaguzi mpya wa Bunge ambao ni wanne katika kipindi cha miaka miwili unapasa kufanyika Machi 23 mwaka ujao wa 2021.
-
Libya kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuyaunganisha mabunge ya mashariki na magharibi mwa nchi
Nov 23, 2020 13:07Wabunge wa Libya wanajiandaa kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuyaunganisha mabunge mawili ya nchi hiyo yenye makao yao mashariki na magharibi mwa nchi.
-
Bunge la Iraq: Serikali inapasa kuwasilisha matokeo ya uchunguzi kuhusu mauaji ya Kamanda Suleimani
Nov 23, 2020 04:26Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq imeripoti kuwa inaendelea kuishinikiza serikali ya nchi hiyo ili iwasilishe haraka iwezekanavyo matokeo ya uchunguzi kuhusu mauaji ya Kamanda Luteni Jenerali Qassim Suleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Sheria mpya ya uchaguzi Iraq; namna ilivyotungwa na jinsi ilivyopokewa
Nov 09, 2020 02:32Sheria mpya ya uchaguzi ya Iraq imesainiwa na rais Barham Salih baada ya kupitishwa na bunge la nchi hiyo.
-
Bunge la Iraq kuanza kujadili mauaji ya kigaidi ya Luteni Qasem Soleimani
Nov 05, 2020 03:57Mjumbe mmoja wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesema kuwa, karibuni hivi bunge hilo litaanza kujadili faili la kuuliwa kigaidi na Marekani, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Abu Mahdi al Muhandis na mashahidi wenzao wanane.
-
Jaji Mkuu wa Kenya amtaka Rais Uhuru Kenyatta kulivunja Bunge
Sep 21, 2020 14:37Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga Jumatatu ya leo amemshauri Rais Uhuru Kenyatta kulivunja Bunge kwa sababu ya kushindwa kutunga sheria kuhusu usawa wa kijinsia.
-
Wabunge wa Ufaransa nao wapinga mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel
Sep 21, 2020 13:40Wabunge 61 wa Bunge la Ufaransa wamekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano baina ya Imaratina Bahrain na utawala haramu wa Israel.
-
Jumanne tarehe 23 Juni mwaka 2020
Jun 23, 2020 02:41Leo ni Jumanne tarehe Mosi Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Juni 23 mwaka 2020.
-
Bunge la Ethiopia lamruhusu Waziri Mkuu asalie madarakani muda wake ukiisha
Jun 11, 2020 08:02Bunge la Ethiopia limepiga kura ya kumuidhinisha Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Abiy Ahmed aendelee kuwa madarakani hata baada ya muhula wake wa kuhudumu kisheria utakapomalizika.