-
Jumanne tarehe 23 Juni mwaka 2020
Jun 22, 2020 22:11Leo ni Jumanne tarehe Mosi Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Juni 23 mwaka 2020.
-
Bunge la Ethiopia lamruhusu Waziri Mkuu asalie madarakani muda wake ukiisha
Jun 11, 2020 03:32Bunge la Ethiopia limepiga kura ya kumuidhinisha Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Abiy Ahmed aendelee kuwa madarakani hata baada ya muhula wake wa kuhudumu kisheria utakapomalizika.
-
Wabunge wa Iran walaani 'ugaidi wa kibaguzi' wa polisi ya Marekani
Jun 02, 2020 23:25Wabunge 240 wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa taarifa ya kulaani mwenendo wa polisi ya Marekani wa kutumia ugaidi wa kibaguzi dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel
May 29, 2020 23:48Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais Rouhani: Bunge la Iran ni nembo ya demokrasia ya kidini
May 27, 2020 12:33Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema bunge ni nembo ya demokrasia kote duniani, lakini ni nembo ya demokrasia ya kidini katika Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Bunge la Awamu ya 11; sisitizo kuhusu matarajio na stratijia muhimu
May 27, 2020 05:53Awamu ya 11 ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, imeanza leo Jumatano kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Bunge la 11 la Iran lafunguliwa kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu
May 27, 2020 03:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaka Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lililoanza shughuli zake leo Jumatano kuelekeza darubini na kujikita zaidi katika masuala ya uchumi wa kimuqawama na utamaduni.
-
Kiongozi wa upinzani ndani ya Knesset: Netanyahu anataka kuzusha vita vya ndani Israel
May 26, 2020 03:33Kiongozi wa upinzani katika bunge la utawala haramu wa Kizayuni lijulikanalo kwa jina la Knesset sambamba na kukosoa vikali matamshi ya uchochezi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo aliyoyatoa mahakamani, amesema kuwa Netanyahu anafanya njama za kuibua vita vya ndani huko Israel.
-
Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel
May 12, 2020 10:22Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabili njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.
-
Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq
Apr 21, 2020 07:17Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iraq amesema kuwa Wamarekani ndio waliopanga mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.