-
Kiongozi wa wanajeshi wafanya mapinduzi Burkina Faso akutana na rais aliyepinduliwa
Jun 22, 2022 07:18Kiongozi wa wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Burkina Faso amekutana na rais aliyeondolewa madarakani katika mapinduzi yaliyofanyika mapema mwaka huu. Kiongozi wa mapinduzui ya kijeshi ya Burkina Faso amekutana na Roch Marc Christian Kabore katika juhudi za kujaribu kutuliza hali ya kisiasa nchini humo.
-
Rais wa zamani wa Burkina Faso ahukumiwa maisha jela kwa mauaji ya Sankara
Apr 06, 2022 21:25Rais wa zamani wa Burkina Faso amehukumiwa kifungo cha maisha jela katika kesi ya mauaji ya Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi wa nchi hiyo na shujaa wa bara la Afrika yaliyotekelezwa mwaka 1987.
-
20 wauawa katika shambulio la kigaidi dhidi wa mgodi wa dhahabu Burkina Faso
Apr 03, 2022 03:46Watu wasipoungua 20 wameuawa katika shambulio la watu wenye silaha kwenye mgodi mmoja wa dhahabu kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Wananchi wa Burkina Faso waandamana kupinga uhusiano wa kijeshi na Ufaransa
Mar 28, 2022 06:37Wananchi wa Burkina Faso wamefanya maandamano ya kushinikiza kuhitimishwa uhusiano na ushirikiano wa kijeshi baina ya nchi yao na Ufaransa.
-
Ecowas: Hatutaitelekeza Burkina Faso baada ya mapinduzi
Mar 19, 2022 03:55Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) amesema kuwa jumuiya hiyo itaendelea kufanya kazi pamoja na Burkina Faso licha ya wasiwasi uliopo kuhusu mpango wa wanajeshi nchini humo kushikilia madaraka kwa miaka mitatu baada ya mapinduzi mwezi Januari mwaka huu.
-
Chama kilichoondolewa madarakani Burkina Faso chataka Kabore aachiwe huru
Feb 24, 2022 10:42Chama cha Rais aliyepinduliwa nchini Burkina Faso, Roch Marc Christian Kabore, kimekita kikosi cha wafanya mapinduzi kilichotwaa madaraka kimwachie huru bila ya masharti yoyote rais huyo wa zamani wa Burkina Faso ambaye yuko katika kifungo cha nyumbani.
-
Askari aliyepindua serikali ya Burkina Faso alipata mafunzo Marekani
Jan 27, 2022 06:52Afisa wa kijeshi aliyeoongoza mapinduzi yaliyopelekea kupinduliwa rais aliyechaguliwa kidemokrasia Burkina Faso alipata mafunzo yake Marekani.
-
ECOWAS yaitisha mkutano wa kujadili mgogoro wa Burkina Faso
Jan 27, 2022 04:43Nchi wanachama wa Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) kesho Ijumaa zitafanya mkutano wa kujadili mgogoro wa kisiasa uliobuka Burkina Faso, kufuatia kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa madarakani Rais Roch Marc Christian Kaboré wa nchi hiyo.
-
Katibu Mkuu wa UN alaani "janga la mapinduzi" baada ya Kabore kupinduliwa Burkina Faso
Jan 25, 2022 11:37Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelaani kile alichokiita "janga la mapinduzi" ambalo ulimwengu unashuhudia, akieleza kuwa anafuatilia kwa wasiwasi mkubwa matukio ya sasa nchini Burkina Faso.
-
Jeshi la Burkina Faso lamuengua madarakani Rais Kabore, AU yatoa kauli
Jan 25, 2022 00:02Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa limemuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Roch Marc Christian Kabore, sambamba na kuvunja Bunge na serikali.