Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • HRW: Watu 15 waliuawa wakati wa kampeni za kura ya maoni Burundi; matokeo ya awali yatangazwa + Sauti

    HRW: Watu 15 waliuawa wakati wa kampeni za kura ya maoni Burundi; matokeo ya awali yatangazwa + Sauti

    May 18, 2018 09:33

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwa akali watu 15 waliuawa wakati wa kampeni za kura ya maoni ya kuifanyia marekebisho katiba huko nchini Burundi.

  • Burundi yalaani kitendo cha serikali ya Canada kuwazuia Warundi kushiriki kura ya maoni

    Burundi yalaani kitendo cha serikali ya Canada kuwazuia Warundi kushiriki kura ya maoni

    May 17, 2018 23:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Burundi imekosoa vikali hatua ya viongozi wa Canada ya kuwazuia Warundi wanaoishi katika nchi hiyo kushiriki katika kura ya maoni ya jana na kusema kuwa, kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.

  • Dosari zagubika kura ya maoni ya marekebisho ya Katiba Burundi (SAUTI)

    Dosari zagubika kura ya maoni ya marekebisho ya Katiba Burundi (SAUTI)

    May 17, 2018 10:24

    Wananchi wa Burundi waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wameshiriki katika kura ya maoni ya marekebisho ya Katiba ambayo kama itapasishwa itamfungulia njia Rais Pierre Nkurunziza kuiongoza nchi hiyo hadi 2034.

  • SAUTI, Miili ya watu 26 waliouawa hivi karibuni Burundi imezikwa, huku Bujumbura ikituma ujumbe kwa DRC

    SAUTI, Miili ya watu 26 waliouawa hivi karibuni Burundi imezikwa, huku Bujumbura ikituma ujumbe kwa DRC

    May 15, 2018 12:10

    Hatimaye miili ya watu 26 waliouawa hivi karibuni nchini Burundi na kundi la watu wasiojulikana kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezikwa leo, katika mazishi yaliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi hiyo.

  • SAUTI, Kampeni ya uchaguzi wa kura ya maoni nchini Burundi imefungasha virago jioni ya leo katika anga ya mchuano mkali

    SAUTI, Kampeni ya uchaguzi wa kura ya maoni nchini Burundi imefungasha virago jioni ya leo katika anga ya mchuano mkali

    May 14, 2018 12:34

    Kampeni ya wiki mbili ya uchaguzi wa kura ya maoni nchini Burundi imekamilisha shughuli zake jioni ya (leo) Jumatatu ambapo vyama vya kisiasa vilipata wasaa wa kuwafikishia maoni yao wananchi.

  • SAUTI, Jeshi la Burundi lasema, watu waliotekeleza shambulizi jana na kuua watu 26 wasifurahie kwani watapatikana

    SAUTI, Jeshi la Burundi lasema, watu waliotekeleza shambulizi jana na kuua watu 26 wasifurahie kwani watapatikana

    May 12, 2018 12:18

    Watu 26 wameuawa nchini Burundi na wengine saba kujeruhiwa kufuatia shambulio la watu wasiojulikana kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Taharuki Burundi, maafisa wa serikali wataka 'kuhasiwa maadui'

    Taharuki Burundi, maafisa wa serikali wataka 'kuhasiwa maadui'

    May 08, 2018 12:31

    Huku zikiwa zimesalia chini ya wiki mbili kabla ya wananchi wa Burundi kushiriki kwenye kura ya maoni ya kuifanyia marekebisho katiba ya nchi, hali ya taharuki imetanda nchini humo huku maafisa wa serikali wakitoa mwito wa kushambuliwa watu wanaopinga kufanyika kwa zoezi hilo.

  • Wiki mbili kabla ya kufanyika kura ya maoni, Burundi yazipiga marufuku BBC na VOA

    Wiki mbili kabla ya kufanyika kura ya maoni, Burundi yazipiga marufuku BBC na VOA

    May 05, 2018 10:27

    Serikali ya Burundi imeyapiga marufuku mashirika ya utangazaji ya BBC na VOA pamoja na stesheni mbili za habari za ndani kuendesha shughuli zao nchini humo zikiwa zimesalia takriban wiki mbili kabla ya kufanyika kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba.

  • Kanisa Katoliki nchini Burundi lapinga kura ya maoni

    Kanisa Katoliki nchini Burundi lapinga kura ya maoni

    May 04, 2018 02:53

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Burundi wamepinga kura ya maoni ya kuifanyia marekebisho katiba ya nchi inayotazamiwa kufanyika mwezi huu.

  • SAUTI, Chama tawala cha CNDD-FDD nchini Burundi, chafungua pazia la kampeni ya uchaguzi wa kura ya maoni

    SAUTI, Chama tawala cha CNDD-FDD nchini Burundi, chafungua pazia la kampeni ya uchaguzi wa kura ya maoni

    May 03, 2018 11:46

    Kampeni ya kutetea kura ya 'ndio' ama 'hapana' kwa ajili ya kura ya maoni nchini Burundi na ambayo itaruhusu marekebisho ya katiba nchini humo, tayari imefunguliwa rasmi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS