• Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump

    Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump

    Mar 09, 2025 02:36

    sambamba na hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuongeza mashinikizo kwa Ottawa nwa vitisho vyake vya kuiteka Canada na kuijumuisha kwenye majimbo ya Marekani, wananchi wenye hasira wa Canada nao wameamua kutokaa kimya na wameanza kwa nguvu kutekeleza vikwazo dhidi ya bidhaa za Marekani.

  • Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump

    Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump

    Mar 08, 2025 11:17

    sambamba na hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuongeza mashinikizo kwa Ottawa nwa vitisho vyake vya kuiteka Canada na kuijumuisha kwenye majimbo ya Marekani, wananchi wenye hasira wa Canada nao wameamua kutokaa kimya na wameanza kwa nguvu kutekeleza vikwazo dhidi ya bidhaa za Marekani.

  • Theluthi moja ya Wacanada wanaichukulia Marekani kuwa ni

    Theluthi moja ya Wacanada wanaichukulia Marekani kuwa ni "adui" wa nchi yao

    Feb 22, 2025 05:54

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa idadi kubwa ya Wacanada wanaitazama Marekani kama adui yao kutokana na kauli na vitisho vilivyotolewa na rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya nchi yao.

  • Abuja yaijia juu Canada kwa kumyima 'viza' Mkuu wa Jeshi la Nigeria

    Abuja yaijia juu Canada kwa kumyima 'viza' Mkuu wa Jeshi la Nigeria

    Feb 14, 2025 12:10

    Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Nigeria, Jenerali Christopher Musa, ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya ubalozi wa Canada katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, kumnyima yeye na maafisa wengine wakuu wa kijeshi viza ya kwenda Canada kuhudhuria hafla ya michezo ya maveterani wa vita huko Vancouver.

  • Jimbo la Ontario Canada laziwekea vikwazo kampuni za Marekani

    Jimbo la Ontario Canada laziwekea vikwazo kampuni za Marekani

    Feb 04, 2025 02:48

    Baada ya Donald Trump kuiambia Canada kuwa atatoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa za nchi hiyo zinazoingia Marekani, Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amejibu kivitendo hatua hiyo akitangaza kuwa bidhaa za Marekani zinazoingia nchini humo nazo zitatozwa ushuru wa asilimia 25.

  • Vita baina ya Marekani na Canada sasa vyaingia michezoni; wimbo wa taifa wa Marekani wazomewa

    Vita baina ya Marekani na Canada sasa vyaingia michezoni; wimbo wa taifa wa Marekani wazomewa

    Feb 03, 2025 10:31

    Mashabiki wa michezo wa Canada wamekuwa wakizomea wimbo wa taifa wa Marekani kila unapopigwa katika mechi mbalimbali ikiwa ni kuonesha hasira zao kwa amri ya rais wa Marekani Donald Trump ya kutozwa ushuru mkubwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokea Canada.

  • Uroho wa Trump katika muhula wa pili wa urais wake

    Uroho wa Trump katika muhula wa pili wa urais wake

    Jan 27, 2025 04:41

    Rais Donald Trump wa Marekani ameanza muhula wake wa pili wa uongozi huku akiweka hadharani uroho wake wa kupora ardhi, biashara na fedha za mataifa mengine ambapo ametangaza wazi azma yake ya kutaka kunyakua na kuunganisha ardhi za nchi huru na Marekani na pia kuhodhi kandarasi zenye faida kubwa kutoka kwa washirika wa Washington.

  • Canada: Tuko tayari kujibu vitisho vya ushuru vya Trump

    Canada: Tuko tayari kujibu vitisho vya ushuru vya Trump

    Jan 18, 2025 10:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amesema kuwa nchi hiyo imejiandaa kujibu hatua yoyote ya Washington ya kuiwekea Canada ushuru mpya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada ameeleza haya siku chache kabla Rais mteule wa Marekani, Donald Trump hajaanza kazi rasmi katika Ikulu ya White House.

  • Majibu ya nchi mbalimbali kwa madai yasiyo na msingi ya Trump kuhusu kuinyakua Greenland

    Majibu ya nchi mbalimbali kwa madai yasiyo na msingi ya Trump kuhusu kuinyakua Greenland

    Jan 09, 2025 12:53

    Baada ya Rais mteule wa Marekani, Donald Trump kusisitiza madai yake ya kutaka kunyakua maeneo Canada, Panama na Greenland, na hatua zake, ikiwa ni pamoja na kumtuma mtoto wake wa kiume huko Greenland kuandaa mazingira ya unyakuzi huo, nchi hizo zimetoa majibu makali dhidi ya hatua ya Trump.

  • WHO yazindua mpango wa miezi sita wa kuzuia usambaaji wa Mpox

    WHO yazindua mpango wa miezi sita wa kuzuia usambaaji wa Mpox

    Aug 27, 2024 06:57

    Shirika la Afya Duniani WHO limezindua mpango wa miezi sita wa kusaidia kukomesha usambaaji wa maambukizi ya ugonjwa wa mpox.