-
Tathmini ya siku 100 za serikali ya Biden kuwa ofisini
May 02, 2021 02:22Baada ya kupita siku 100 tokea Rais Joe Biden wa chama cha Democrat achukue madaraka ya Marekani, watu wamekuwa wakitathmini utendaji wa serikali yake katika kipindi hiki, kipindi ambacho baadhi ya wataalamu wanasema kwamba licha ya kufanikiwa katika baadhi ya sehemu lakini ameshindwa pakubwa kutekeleza ahadi alizotoa katika kampeni za uchaguzi.
-
Tangu wafuasi wa Trump wavamie bunge, maelfu ya Wamarekani wamekihama chama cha Republican
Feb 16, 2021 12:28Vyombo vya habari vya habari nchini Marekani vimetangaza kuwa maelfu ya wanachama rasmi wa chama cha Republican wamejitoa katika chama hicho kufuatia uvamizi na hujuma zilizofanywa na wafuasi wa Donald Trump katika jengo la kongresi ya nchi hiyo.
-
Marekani katika lindi la machafuko ya kisiasa
Jan 07, 2021 09:56Machafuko, fujo, vurugu, uporaji, ufyatuaji risasi, mauaji, ugaidi, mapinduzi, kukabiliana na mapinduzi; bali kwa kifupi; kashfa ya taifa, ndiyo maneno ambayo kila moja linafasiri matukio ya aibu yaliyotokea jana Jumatano, Januari 6, 2021 nchini Marekani ndani jengo la Congress
-
Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais
Dec 13, 2020 10:48Baada ya kupita zaidi ya siku 40 tokea ufanyike uchaguzi wa rais nchini Marekani, Rais Donald Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican amekuwa akitaka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kuwa mshindani wake wa chama cha upinzani cha Democrat Joe Biden ameshinda, yabatilishwe. Trump hadi sasa amekataa kukubali kushindwa.
-
Hitilafu katika kambi ya Warepublican kuhusu kuondolewa askari wa Marekani Asia Magharibi
Nov 18, 2020 02:23Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuondolewa askari wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi hususan Afghanistan na Iraq ambao unatarajiwa kutangazwa katika siku za usoni na iliyokuwa moja ya ahadi muhimu za Trump umekabiliwa na upinzani mkali wa chama chake cha Repulican katika Kongresi ya nchi hiyo.
-
Mbunge wa chama tawala Marekani ataka Trump auzuliwe
Jul 19, 2018 15:35Mbunge wa chama tawala cha Republican nchini Marekani amekosoa vikali utendaji wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo na kutoa wito wa kusailiwa na kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye katika Kongresi ya nchi hiyo.
-
Boston Herald: Warepublican wametiwa wasiwasi na hatua za Rais Trump
Aug 22, 2017 02:40Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika katika ripoti yake kuwa wawakilishi wa chama cha Republican wanatiwa wasiwasi na hatua zinazochukuliwa na Rais wa nchi hiyo.
-
Mgombea mwingine wa rais Marekani afuata nyayo za Trump
Mar 23, 2016 07:27Mgombea wa kiti cha rais kupitia chama cha Republican Ted Cruz amependekeza kuazishwa msako mkali dhidi ya wafuasi wa dini ya Kiislamu eti kwa shabaha ya kuwazuia ‘wasiingie kwenye kundi la wenye misimamo iliyofurutu ada’.