-
WHO yazitaka nchi zote kushirikiana ili kubaini chanzo cha virusi vya corona
Jul 24, 2021 04:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito kwa nchi zote kushirikiana ili kujua asili na chanzo cha virusi vya Corona, na kusisitiza kuwa, jambo hilo halihusiani na siasa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China: Kuasisiwa nchi huru ya Palestina ni haki ya kisheria ya Wapalestina
Jul 19, 2021 09:02Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema kuwa, kuundwa nchi huru ya Palestina ni haki ya kisheria ya Wapalestina na jambo hilo halipasi kuakhirishwa.
-
China yaishambulia kwa maneno Marekani kwa kuchochea machafuko Afghanistan
Jul 15, 2021 23:35Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametoa maneno makali dhidi ya Marekani na kusema kuwa, viongozi wa Washington ndio wanaopaswa kubeba lawama ya mgogoro wa hivi sasa wa Afghanistan.
-
Russia na China kushirikiana zaidi kistratejia kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa Magharibi
Jul 12, 2021 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameitaka Russia iimarishe zaidi ushirikiano wake wa kistratejia na nchi hiyo ili nchi hizo mbili ziweze kukabiliana na ubeberu wa Magharibi.
-
Hilton kujenga hoteli kwenye magofu ya msikiti wa Waislamu wa Uyghur, Xinjiang; CAIR yalaani
Jul 07, 2021 01:25Mpango wa ujenzi wa hoteli ya kifahari ya Hilton kwenye eneo la msikiti wa Waislamu uliobomolewa katika mkoani Xinjiang nchini China umewakasirisha Waislamu na kuzusha malalamiko mengi katika nchi mbalimbali.
-
Sisitizo la viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na China la udharura wa kuhuishwa JCPOA
Jul 06, 2021 21:51Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, na Rais Xi Jinping wa China wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kutoa wito kwa pande zinazofanya mazungumzo huko Vienna kwa ajili ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutumia vyema fursa iliyopo ya "Dirisha la Fursa" kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Visingizio vinavyotumiwa na Marekani kuzuia misaada kwa nchi maskini duniani
Jun 12, 2021 22:50Wakati maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 vikiendelea kusababisha mgogoro wa kiuchumi na umaskini katika nchi mbalimbali duniani na kuzifanya nchi hizo zihitajie misaada zaidi ya nchi tajiri, maafisa wa serikali ya Marekani wanafanya mikakati ya kuzuia misaada kwa nchi hizo kwa kutumia visingizio vya aina mbalimbali.
-
Amnesty: China imewafanyia Waislamu wa Uighur 'jinai dhidi ya binadamu'
Jun 11, 2021 03:22Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Waislamu wa jamii ya Uighur nchini China wanakabiliwa na vitendo vya mateso na unyanyasi unaoelezwa kuwa umekuwa ukifanywa na serikali ya Beijing, na kusisitiza kuwa dhulma hizo zina uzito wa 'jinai dhidi ya binadamu.'
-
Biden afuta amri ya Trump ya kuzifungia baadhi ya programu za China
Jun 10, 2021 02:20Ikulu ya Marekani, White House imetangaza kuwa, rais wa nchi hiyo, Joe Biden amefuta amri iliyokuwa imetolewa na rais aliyemtangulia, Donald Trump ya kuzifungia baadhi ya programu za simu za mkononi za China.
-
WHO: Hatutailazimisha China itupe taarifa zaidi kuhusu chanzo cha Corona
Jun 08, 2021 03:19Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema taasisi hiyo ya kimataifa haitashurutisha China itoe data na taarifa zaidi juu ya chanzo cha virusi vya Corona.