Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Russia na China kushirikiana zaidi kistratejia kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa Magharibi

    Russia na China kushirikiana zaidi kistratejia kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa Magharibi

    Jul 12, 2021 03:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameitaka Russia iimarishe zaidi ushirikiano wake wa kistratejia na nchi hiyo ili nchi hizo mbili ziweze kukabiliana na ubeberu wa Magharibi.

  • Hilton kujenga hoteli kwenye magofu ya msikiti wa Waislamu wa Uyghur, Xinjiang; CAIR yalaani

    Hilton kujenga hoteli kwenye magofu ya msikiti wa Waislamu wa Uyghur, Xinjiang; CAIR yalaani

    Jul 07, 2021 01:25

    Mpango wa ujenzi wa hoteli ya kifahari ya Hilton kwenye eneo la msikiti wa Waislamu uliobomolewa katika mkoani Xinjiang nchini China umewakasirisha Waislamu na kuzusha malalamiko mengi katika nchi mbalimbali.

  • Sisitizo la viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na China la udharura wa kuhuishwa JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na China la udharura wa kuhuishwa JCPOA

    Jul 06, 2021 21:51

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, na Rais Xi Jinping wa China wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kutoa wito kwa pande zinazofanya mazungumzo huko Vienna kwa ajili ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutumia vyema fursa iliyopo ya "Dirisha la Fursa" kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusiana na kadhia hiyo.

  • Visingizio vinavyotumiwa na Marekani kuzuia misaada kwa nchi maskini duniani

    Visingizio vinavyotumiwa na Marekani kuzuia misaada kwa nchi maskini duniani

    Jun 12, 2021 22:50

    Wakati maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 vikiendelea kusababisha mgogoro wa kiuchumi na umaskini katika nchi mbalimbali duniani na kuzifanya nchi hizo zihitajie misaada zaidi ya nchi tajiri, maafisa wa serikali ya Marekani wanafanya mikakati ya kuzuia misaada kwa nchi hizo kwa kutumia visingizio vya aina mbalimbali.

  • Amnesty: China imewafanyia Waislamu wa Uighur 'jinai dhidi ya binadamu'

    Amnesty: China imewafanyia Waislamu wa Uighur 'jinai dhidi ya binadamu'

    Jun 11, 2021 03:22

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Waislamu wa jamii ya Uighur nchini China wanakabiliwa na vitendo vya mateso na unyanyasi unaoelezwa kuwa umekuwa ukifanywa na serikali ya Beijing, na kusisitiza kuwa dhulma hizo zina uzito wa 'jinai dhidi ya binadamu.'

  • Biden afuta amri ya Trump ya kuzifungia baadhi ya programu za China

    Biden afuta amri ya Trump ya kuzifungia baadhi ya programu za China

    Jun 10, 2021 02:20

    Ikulu ya Marekani, White House imetangaza kuwa, rais wa nchi hiyo, Joe Biden amefuta amri iliyokuwa imetolewa na rais aliyemtangulia, Donald Trump ya kuzifungia baadhi ya programu za simu za mkononi za China.

  • WHO: Hatutailazimisha China itupe taarifa zaidi kuhusu chanzo cha Corona

    WHO: Hatutailazimisha China itupe taarifa zaidi kuhusu chanzo cha Corona

    Jun 08, 2021 03:19

    Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema taasisi hiyo ya kimataifa haitashurutisha China itoe data na taarifa zaidi juu ya chanzo cha virusi vya Corona.

  • Mwanasayansi wa Marekani atahadharisha, asema kutaibuka COVID-26 na COVID-32

    Mwanasayansi wa Marekani atahadharisha, asema kutaibuka COVID-26 na COVID-32

    Jun 01, 2021 21:59

    Mwanasayansi wa Marekani ameonya kwamba, kutajitokeza COVID-26 na COVID-32 iwapo hatufanyika uchunguzi wa kina wa kubaini asili na chanzo cha virusi vya Corona vinavyosababisha maradhi ya COVID-19.

  • Iran, China na Russia zashauriana kuhusu mazungumzo yajayo ya JCPOA

    Iran, China na Russia zashauriana kuhusu mazungumzo yajayo ya JCPOA

    May 31, 2021 22:22

    Mwakilishi wa Russsia katika taasisi za kimataifa zenye makao mjini Vienna nchini Austria amesema kuwa jumbe za Iran, China na Russia zimejadiliana huko Vienna kuhusu hatua mazungumzo yajayo ya JCPOA.

  • Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    May 23, 2021 06:27

    Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya hujuma yoyote ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa China.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS