-
Ajali mbaya ya treni yaua na kujeruhi watu 108 nchini Taiwan
Apr 02, 2021 09:46Watu 108 wameuawa na kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki ya kisiwa cha Taiwan
-
WHO: Chanjo ya China ni salama
Apr 01, 2021 03:07Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa chanjo za corona zilizotengenezwa China ni za kuaminika na wala hazina hatari yoyote.
-
White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China
Mar 30, 2021 03:25Msemaji wa White House ametoa radiamali yake kufuatia kusainiwa mpango wa ushirikiano wa kimkakati wa miaka 25 kati ya Iran na China.
-
Kuendelea mivutano kati ya China na Marekani
Mar 29, 2021 22:00Licha ya kuwepo utabiri wa awali kwamba mivutano iliyokuwepo kati ya China na nchi za Magharibi na hasa Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ingepungua pakubwa mara tu baada ya kuoondoka madarakani rais huyo na kuingia White House Joe Biden, lakini mivutano hiyo ingalipo bali imeongezeka hata zaidi.
-
Ali Shamkhani: Ushirikiano wa kistratejia Mashariki unaharakisha kusambaratika Marekani
Mar 29, 2021 03:45Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, ushirikiano wa kistratejia wa Mashariki utaharakisha kusambaratika Marekani.
-
Baada ya China kuiwekea vikwazo UK, sasa London yalalamika
Mar 26, 2021 22:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amelalamikia vikali vikwazo vilivyowekwa na China dhidi ya nchi yake.
-
Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA
Mar 24, 2021 07:51Wang Yi na Sergei Lavrov, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Russia Jumatatu wiki hii tarehe 22 Machi walisiistiza udharura wa kurejea Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya masharti yoyote na kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran.
-
Lavrov asisitiza kuondolewa sarafu ya dola katika mzunguko wa mfumo wa fedha
Mar 22, 2021 03:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza utumiaji wa sarafu nyinginezo badala ya dola katika mabadilishano ya kibiashara.
-
Kikao cha Alaska na kukaririwa tuhuma za Marekani dhidi ya China
Mar 20, 2021 23:49Kushadidi mpambano baina ya Marekani na China tangu baada ya Joe Biden kushika hatamu za uongozi kumezifanya pande hizo mbili kuitisha kikao cha ngazi za juu ambacho kilifanyika Alkhamisi iliyopita katika eneo la Anchorage kwenye jimbo la Alaska.
-
Marekani; tishio kubwa zaidi kwa China
Mar 08, 2021 06:28Huku vita vya maneno vikizidi kuongezeka kati ya viongozi wa China na Marekani, mara hii Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa Marekani ndilo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa nchi yake.