-
Genge la Daesh (ISIS) lafanya jinai mpya nchini Nigeria
Dec 28, 2019 07:49Wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamesambaza mkanda wa video unaoonyesha mauaji ya watu 11 ndani ya Krismasi.
-
Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq
Dec 12, 2019 08:00Harakati ya Wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imefanikiwa kutegua mabomu 100 pamoja na mada za miripuko katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Harakati ya Hashdush-Sha'abi: Hatutaruhusu genge la Daesh kutishia usalama wa Iraq
Dec 05, 2019 01:22Harakati ya wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imetangaza kwamba, wanamuqawama wa harakati hiyo wameazimia vilivyo kutekeleza majukumu yao na kwamba kamwe hawatoruhusu kurejea nchini humo kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ili kutishia usalama na uthabiti wa Iraq.
-
Mgogoro wa Iraq na uwezekano wa kuibuka tena kundi la kigaidi la Daesh
Dec 04, 2019 00:40Kushika kasi harakati za mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq kumepelekea kuongezeka indhari kuhusiana na uwezekano wa kuibuka na kupata nguvu tena kundi hilo katika nchi hiyo.
-
Kuwarejesha wanachama wa Daesh raia wa Ulaya; wenzo wa mashinikizo mapya wa Uturuki
Nov 17, 2019 02:35Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uturuki imewafukuza Istanbul raia saba wa nchi za nje wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Makumi ya magaidi wa genge la Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa jeshi la Afghanistan
Nov 12, 2019 02:58Duru za habari nchini Afghanistan zimearifu kwamba wanachama 38 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamejisalimisha kwa maafisa usalama wa serikali ya nchi hiyo, katika jimbo la Nangarhar, mashariki mwa nchi.
-
Uturuki yamrejesha mwanachama wa ISIS nchini Marekani
Nov 11, 2019 11:24Uturuki imesema imemrejesha mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi yake ya Marekani, huku Ankara ikianza kuwarejesha makwao magaidi wa genge hilo la ukufurishaji iliowakamata.
-
Russia yaonya kuhusu hatari ya ISIS nchini Afghanistan na uungaji mkono wa Marekani kwa kundi hilo
Nov 10, 2019 07:20Russia imeonya mara kadhaa kuhusu kuenea harakati za kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Afghanistan na kuongeza kuwa magaidi hao wakufurishaji wanaungwa mkono na Marekani.
-
Juhudi za Ulaya za kujipapatua kutoka kwenye kinamasi cha shari za "Madaesh" wake
Nov 06, 2019 08:51Nchi kubwa za barani Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa zina mchango mkubwa wa kuundwa na kupata nguvu magenge mbalimbali ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) na lengo lao kubwa lilikuwa ni kuwatumia magaidi hao kuipindua serikali halali ya Syria. Hata hivyo nchi hizo zimefeli vibaya.
-
London na Brussels zataka Madaesh raia wa nchi za Ulaya wahukumiwe Iraq na Syria
Nov 05, 2019 12:11Uingereza na Ubelgiji zimetoa wito wa kuhukumiwa raia wa nchi hizo mbili wanachama wa Daesh katika nchi za Iraq na Syria.