-
Kundi la Daesh (ISIS) latangaza kuhusika na shambulizi mjini Riyadh, Saudia
Apr 22, 2019 13:56Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limetangaza kuhusika na shambulizi dhidi ya kituo kimoja cha polisi huko Riyadh, mji mkuu wa Saudia.
-
Kujitolea mhanga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC) ni kwa manufaa ya usalama wa Ulaya
Apr 11, 2019 08:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Laiti kama Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lisingepigana bega kwa bega na wananchi mashujaa wa Iraq na Syria, DAESH (ISIS) ingekuwa imeshaidhibiti miji mikuu ya nchi hizo mbili za Kiarabu na kutuma jeshi la kigaidi hadi ndani ya mipaka ya Ulaya.
-
Magaidi wa Daesh watumia mapigano mapya Libya kuendeleza ukatili
Apr 10, 2019 02:26Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetumia ombwe lililosababishwa na mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar nchini Libya, kuanzisha wimbi jipya la mauaji nchini humo.
-
Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'
Mar 31, 2019 07:49Msemaji wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amejiwa juu na watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuwaita wanawake wa Kipalestina walioshiriki maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huku wakiwa wamevalia vazi la stara la niqabu kuwa eti ni wake za wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Ndege ya kijeshi ya Marekani yapeleka magaidi 29 wa Daesh (ISIS) nchini Algeria
Mar 26, 2019 03:07Duru za usalama za Algeria zimetangaza kuwa, magaidi 29 wa Daesh wapelekwa nchini humo kwa ndege ya kijeshi ya Marekani.
-
Russia, Syria na Human Rights Watch wakanusha madai ya Trump kuhusu ISIS
Mar 24, 2019 15:17Russia, Syria na Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch wamepinga madai ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kwamba magaidi wa Daesh (ISIS) wameshasambaratishwa kikamilifu katika nchi za Iraq na Syria.
-
Iraq yachunguza kuuzwa kwa wanawake wa Kiizadi katika nchi za Kiarabu
Mar 03, 2019 15:36Mwakilishi wa zamani wa kaumu wa Waizadi katika Bunge la Iraq amesema mpango wa kufanyika uchunguzi kuhusu ripoti ya kuuzwa wanawake wa kaumu hiyo huko Saudi Arabia na katika nchi nyingine za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi ungali unaendelea.
-
Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi
Mar 03, 2019 02:26Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.
-
ICSR: Raia elfu 13 wa nchi za Ulaya ni wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh
Feb 25, 2019 07:08Kituo cha Kimataifa cha Kuchunguza Misimamo Mikali (ICSR) kimetangaza kuwa, zaidi ya raia elfu 13 wa nchi za Ulaya walikuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh tangu kundi hilo lilipoanzishwa hadi mwaka jana wa 2018 na kwamba, magaidi hao wa Ulaya wamejiunga na kundi hilo katika nchi za Iraq na Syria.
-
Baba yake Hoda Muthana awasilisha mashtaka rasmi dhidi ya serikali ya Marekani
Feb 23, 2019 03:45Baba wa binti Hoda Muthana ambaye alikuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh huko Syria amewasilisha rasmi malalamiko yake kwa serikali ya Marekani.