-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 11, 2023 23:04Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
Magaidi karibu ya 20 wa Daesh wametoroka jela Syria kufuatia tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 08:31Takriban magaidi wa Daesh 20 waliokuwa wamefungwa jela katika gereza moja nchini Syria jana walitoroka baada ya kufanya uasi kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo na Uturuki jana asubuhi.
-
Njia ya fikra ya Shahidi Qassem Soleimani: Mhimili wa Muqawama na Mapambano
Jan 03, 2023 05:47Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo, na karibuni kuwa nasi tena katika mfululizo mwingine wa kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa tatu wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, ambapo katika mfululizo huu wa tatu tutatalii moja ya vipindi maalumu vya maisha ya kamanda huyo.
-
Iraq yawatia nguvuni magaidi 15 wa Daesh
Nov 18, 2022 22:59Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia mbaroni magaidi 15 wa kundi la Daesh katika mikoa sita ya nchi hiyo.
-
Iran: Tutapambana vilivyo na magaidi wote wanaohatarisha usalama wetu
Nov 08, 2022 07:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), amewatembelea hospitalini maafisa wa polisi waliojeruhiwa katika machafuko ya hivi karibuni humu nchini na kusisisitiza kuwa Tehran itapambana vilivyo na magaidi wanaohatarisha usalama wa nchi.
-
Ugaidi wa ISIS unavyohudumia maadui wa taifa la Iran
Nov 03, 2022 07:38Jumatano, tarehe 27 Oktoba, damu ya Waislamu waliokuwa wamekwenda kuzuru na kufanya ibada katika Haram tukufu ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Ahmad Ibn Musa (as) huko Shiraz kusini mwa Iran, ilimwagwa katika eneo hilo tukufu ambapo gaidi asiye na moyo wa kibinadamu wa kundi la Daesh aliwamiminia risasi ovyo waumini waliokuwa wakitekelea Swala ya Magharibi na kuua 15 Miongoni mwao.
-
DAESH (ISIS) wametumia asilimia 90 ya silaha za Marekani katika operesheni za kigaidi
Aug 15, 2022 06:07Mtaalamu mmoja wa masuala ya kiusalama amesema, asilimia 90 ya wahanga na waathirika wa ugaidi nchini Iraq hasa katika maeneo yaliyokombolewa wameuliwa kwa silaha za Marekani.
-
Magaidi 50 wa Daesh wahamishiwa Iraq kutoka nchini Syria
Aug 13, 2022 22:01Kitengo cha upashaji habari cha jeshi la Iraq kimetoa ripoti rasmi na kusema kuwa karibu wanachama 50 wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Dashe (ISIS) wamehamishiwa mkoani Nainawa (Nineveh) Iraq kutoka katika kambi ya al Hawl ya nchini Syria.
-
Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati huu wa Muharram
Aug 07, 2022 03:38Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imetangaza kuangamizwa magaidi wanne wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mapigano yaliyotokea kwenye eneo la Karte-Ye-Sakhi mjini Kabul.
-
Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani
Jul 03, 2022 23:34Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limetokana na fikra za Kimarekani.