-
Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama
Jun 26, 2020 13:31Baada ya matukio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilitumia kisingizio cha kupambana na ugaidi duniani ili kuzishambulia na kuzikalia kijeshi Afghanistan na Iraq.
-
Al Hashd al Shaabi: Oparesheni ya jeshi la Iraq itaendelea hadi kuangamizwa Daesh
Jun 23, 2020 02:30Kamanda wa oparesheni ya kikosi cha harakati ya al Hashd al Shaabi katika mkoa wa Diyala nchini Iraq amesema kuwa awamu ya tatu ya "Oparesheni ya Ushindi wa Mashujaa wa Iraq" itaendelea mashariki na kaskazini mwa nchi hadi mabaki yote ya kundi la kigaidi la Daesh yatakapoangamizwa kikamilifu.
-
Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Jun 03, 2020 07:28Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la Iraq amesema kuwa, nchi hiyo haihitai askari yeyote wa kigeni kwa ajili ya mapambano na mabaki ya ugaidi.
-
Mpasuko mkubwa waibuka ndani ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS)
May 31, 2020 04:48Msemaji wa Jeshi la Iraq ameeleza kuwepo mpasuko mkubwa ndani ya safu ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) hasa baada ya kuuawa kiongozi wa genge hilo, Abubakar Al-Baghdad.
-
Jeshi la Iraq lamuua kiongozi wa ISIS nchini Syria
May 29, 2020 06:16Televisheni ya al Mayadeen imeripoti kuwa, kiongozi mmoja mkubwa wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Iraq katika maficho ya magaidi hao huko Deir ez-Zor, Syria.
-
Kiongozi wa ISIS nchini Iraq auawa katika shambulizi la anga
May 27, 2020 03:44Kikosi cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq kimetangaza habari ya kuangamizwa kinara wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo, Mu'taz al-Jubouri katika shambulizi la anga.
-
Makabila ya kaskazini mwa Misri yajiandaa kutekeleza operesheni dhidi ya ISIS
May 17, 2020 02:20Duru za kieneo zimeripoti kwamba makabila ya eneo la Sinai, kaskazini mwa Misri yametangaza utayarifu wao wa kutekeleza operesheni dhidi ya magaidi wa kundi la Daesh baada ya kumalizika mwezi wa Ramadhani.
-
Badr: Ndege za Marekani zinawabeba magaidi wa ISIS kutoka Syria na kuwapeleka Iraq
May 11, 2020 15:05Kiongozi katika Taasisi ya Badr ya Iraq amesema ndege za Jeshi la Marekani zinatekeleza oparesheni ya kuwabeba magaidi wa ISIS au Daesh kutoka Syria na kuwapeleka Iraq .
-
Waziri Mkuu wa Iraq apongeza uungaji mkono wa Iran katika vita dhidi ya ISIS
May 11, 2020 00:23Waziri Mkuu mpya wa Iraq ameipongeza na kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada na uungaji mkono wake katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi: Magaidi wa Daesh (ISIS) wamezingirwa jimbo la Diyala
May 10, 2020 04:12Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchini Iraq amesema kuwa magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) wamezingirwa katika pande nne za jimbo la Diyala, mashariki mwa Iraq.