-
Kashfa kubwa ya utawala wa Kizayuni: Israel, kituo kikubwa zaidi cha biashara ya dawa za kulevya barani Ulaya
Aug 23, 2025 06:09Kwa mujibu wa ripoti ya kituo cha runinga cha Israel, Channel 12, Israel inazidi kuwa kitovu kikuu cha biashara ya dawa za kulevya kuelekea katika nchi za Ulaya.
-
Mgogoro wa uraibu wa dawa za kulevya na pombe wawazonga vijana wa Israel
Dec 17, 2024 07:47Uraibu wa pombe, dawa za kulevya na kutoroka shule ni sehemu ndogo tu ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuwaandamana vijana wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku za hivi karibuni, hususan baada ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa na kuanza vita vya Ghaza.
-
Muendelezo wa juhudi za Iran katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Feb 09, 2024 04:44Mkuu wa Polisi wa Iran, ameeleza kuridhishwa kwake na juhudi za kitengo cha kupambana na dawa za kulevya cha kikosi hicho, na kusema jeshi hilo liangamiza watu 230 waliokuwa wahusika wakuu katika biashara haramu ya dawa za kulevya na wakati huo huo kunasa tani 500 za afyuni katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
-
UN yaipongeza Iran kwa hatua madhubuti katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Feb 02, 2024 23:01Mkuu wa Idara ya Huduma za Sayansi na Maabara ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) amepongeza hatua za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na dawa za kulevya.
-
Kuongezeka maradufu watu wanaokatwa vichwa nchini Saudi Arabia
Nov 20, 2022 05:18Serikali ya Saudia inatumia vibaya kimya cha madola makubwa na jamii ya kimataifa, kuzidisha kukata vichwa watu kwa visingizio tofauti kiasi kwamba, idadi ya watu waliotekelezewa adhabu ya kifo na ukoo wa Aal Saud mwaka huu, tayari hivi sasa ni maradufu ya waliokatwa vichwa mwaka jana nchini humo.
-
CNN: Saudia inaelekea kuwa kitovu cha matumizi ya madawa ya kulevya Mashariki ya Kati
Sep 04, 2022 02:31Televisheni ya CNN ya Marekani imetangaza habari ya kukamatwa kete karibu milioni 47 za madawa ya kulevya nchini Saudi Arabia na kuongeza kuwa, nchi hiyo ya kifalme hivi sasa inaelekea kuwa kitovu cha matumizi ya mihadarati katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
UNODC: Mamilioni ya vijana duniani wamezama katika uraibu wa mihadarati
Jun 28, 2022 03:27Ofisi ya Umoja wa Mataifa Inayohusika na Jinai na Mihadarati (UNODC) imesema watu zaidi ya milioni 284 duniani wenye umri kati ya miaka 15 na 24, walitumia aina mbalimbali ya mihadarati mwaka juzi 2020, hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 26 katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.
-
UN yatahadharisha juu ya uwezekano wa kuongezeka uzalishaji wa mihadarati huko Ukraine
Jun 27, 2022 22:16Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, vita vinavyoendelea huko Ukraine vinaweza kusababisha ongezeko la uzalishaji haramu wa madawa ya kulevya nchini humo.
-
Afisa usalama wa Saudia akutwa na kilo 18 za vidonge vya kulevya uwanja wa ndege wa Beirut, Lebanon
May 30, 2022 22:41Afisa mmoja wa usalama wa Saudi Arabia amekutwa na kilo 18 za vidonge vya kulevya aina ya captagon katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Beirut, Lebanon.
-
Iran yapongeza marufuku ya kilimo na usafirishaji wa mihadarati kutoka Afghanistan
Apr 06, 2022 06:14Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Rasoul Mousavi, Jumatatu iliyopita aliandika kwenye mtandao wa Twitter kwamba: