-
Iran: Tuko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mihadarati
Apr 05, 2022 22:21Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afghanistan umesema kuwa, Tehran iko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mmea wa mpopi unaozalisha mihadarati na madawa haramu ya kulevya.
-
Marekani yakabiliwa na mgogoro wa madawa ya kulevya
Apr 05, 2022 22:20Mgogoro wa madawa ya kulevya na vifo vinavyosababishwa na matumizi ya mihadarati nchini Marekani vinazidi kuongezeka.
-
Marekani yaweka rekodi mbaya mpya; mara hii ni ya vifo vinavyotokana na madawa ya kulevya
Nov 18, 2021 04:15Kituo cha udhibiti na uzuiaji maradhi cha Marekani kimetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo, takwimu za vifo vinavyosababishwa na matumizi ya kupindukia ya madawa ya kulevya zimevuka kiwango cha watu laki moja kwa mwaka.
-
Iran yakosoa baadhi ya nchi kwa kuzembea katika vita dhidi ya dawa za kulevya
Nov 11, 2021 01:39Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amezikosia baadhi ya nchi ambazo zimezembea katika vita dhidi ya dawa za kulevya au mihadarati.
-
Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni mraibu wa dawa za kulevya
Apr 26, 2021 23:50Mtandao wa Saudi Leaks umefichua kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anatumia dawa za kulevya ni ni mraibu wa heroni.
-
Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan
Jul 07, 2020 23:49Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi Afghanistan kwa kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 na ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa waipongeza Iran kwa jitihada zake za kupambana na dawa za kulevya
Jun 23, 2020 06:21Mwakilishi wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) hapa mjini Tehran ameishukuru Iran kwa jitihada zake za kupambana na mihadarati na kusema Iran imechukua hatua kubwa katika kunasa dawa za kulevya.
-
Iran inaongoza duniani katika kunasa dawa za kulevya
Apr 28, 2020 20:20Katibu wa Idara ya Kupambana na Dawa za Kulevya katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pamoja na kuwepo vikwazo, Iran inaongoza katika kunasa idadi kubwa zaidi ya dawa za kulevya duniani; ambapo katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita imeweza kunasa tani 950 za aina kadhaa za dawa za kulevya.
-
Jumuiya za kimataifa zapinga uteuzi wa Ghada Wali kuwa Mkurugenzi wa UNODC
Nov 24, 2019 23:22Jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu zimepinga uteuzi uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na kumtangaza Ghada Wali, Waziri wa Ustawi za Jamii wa Misri kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Mihadarati na Jinai (UNODC).
-
Mahmoud Abbas: Dhulma ya Marekani haitodumu
Nov 24, 2019 08:03Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameonyesha kukasirishwa sana na uungaji mkono wa Marekani kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi wanazoporwa Wapalestina na kusisitiza kuwa, dhulma ya Marekani haitodumu.