-
Kashfa za ngono zaendelea kumwandama Rais wa Marekani
Mar 09, 2018 21:56Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa, kashfa ya mahusiano haramu ya ngono inayomwandama Rais Donald Trump wa nchi hiyo inazidi kupamba moto na kwamba kiongozi huyo ameamua kumwajiri wakili mashuhuri kwa ajili ya kujinasua katika kinamasi hicho.
-
Uamuzi wa Trump kuhusu Quds waendelea kupingwa
Mar 09, 2018 12:34Wimbi jipya la upinzani dhidi ya maamuzi ya viongozi wa Marekani wanaotaka kutambuliwa Quds (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, limechukua mkondo wake.
-
Uzembe wa nchi za Kiarabu umeongeza uadui Marekani dhidi ya Quds Tukufu
Mar 09, 2018 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Riyadh Al-Maliki amesema, uzembe na upuuzaji wa nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita ndicho chanzo cha kuongezeka uadui na jeuri za Marekani dhidi ya Quds Tukufu.
-
Trump alegeza msimamo na kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini
Mar 09, 2018 03:06Rais Donald Trump wa Marekani amelegeza msimamo na kukubali kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jon-un mwezi Mei mwaka huu.
-
Rais wa Ufaransa ampinga Trump, ataka Beitul-Muqaddas itambuliwe kuwa mji mkuu wa Palestina
Mar 08, 2018 01:03Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa, umewadia wakati sasa wa Beitul-Muqaddas kutambuliwa kuwa mji mkuu wa Palestina.
-
Muigizaji wa filamu za ngono wa Marekani ampeleke mahakamani Trump
Mar 07, 2018 22:11Muigizaji wa filamu za ngono ambaye anadai kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Donald Trump amemshitaki rais huyo wa Marekani, kwa kile alichokitaja kuwa ukiukaji wa makubaliano.
-
Uingereza yakosoa vitisho vya Trump vya kuanzisha vita vya kibiashara na EU
Mar 05, 2018 04:36David Lidington, Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amekosoa vikali vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani vya kuanzisha vita vya kibiashara na Umoja wa Ulaya.
-
Marais Donald Trump na Abdel Fattah el-Sisi waijadili Iran
Mar 05, 2018 04:26Ikulu ya Marekani imetangaza kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo asubuhi ya leo amefanya mazungumzo ya simu na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri kuihusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump ataka Marekani iwe na 'rais wa maisha kama China'
Mar 04, 2018 04:42Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kuwa angependa kuiona nchi hiyo ikiwa na rais wa kudumu maisha.
-
Wapalestina 35 wameuawa shahidi tangu Trump aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel
Mar 01, 2018 04:07Wapalestina 35 wameuawa shahidi na wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel Disemba mwaka jana.