-
Makundi tofauti ya Palestina yamuonya Trump juu ya kuhamishia ubalozi wa US mjini Quds
Feb 24, 2018 04:28Shakhsia na viongozi wa makundi tofauti ya Palestina yamemuonya Rais Donald Trump wa Marekani juu ya kuzidisha mgogoro wa eneo la Mashariki ya Kati kufuatia hatua yake ya kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi hiyo kutoka Tel Aviv kwenda mji wa Quds ambayo imepangwa kutekelezwa sawa na siku ya Nakba (inayokumbushia uvamizi wa Israel dhidi ya ardhi za Wapalestina.)
-
Wauzaji wa silaha za moto Marekani wapongeza msimamo hasi wa Trump
Feb 23, 2018 04:08Chama cha Wauzaji Bunduki Marekani NRA kimepongeza pendekezo lililotolewa na Rais Donald Trump la kutaka kupewa silaha za moto walimu wa shule za nchi hiyo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo.
-
Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) zimeongezeka Marekani tangu Trump aingie madarakani
Feb 22, 2018 13:17Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa tokea Donald Trump alipoingia madarakani, idadi ya makundi yenye chuki na Uislamu na ukubwa wa harakati zao vimeongezeka nchini humo.
-
Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu
Feb 22, 2018 01:06Rais Donald Trump wa Marekani ametoa pendekezo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo akisema kuwa, njia pekee ya kuzuia suala hilo ni kuwapatia silaha za moto walimu.
-
Trump angalau ona aibu; mwanafunzi aliyebaki hai Stoneman Douglas amwambia rais wa Marekani
Feb 18, 2018 23:34Mwanafunzi wa skuli ya sekondari ya Stoneman Douglas huko Parkland, katika jimbo la Florida nchini Marekani ambayo hivi karibuni ilishuhudia bahari ya damu baada ya kijana wa miaka 19 kuivamia skuli hiyo na kufanya mauaji ya kutisha, amemtaka rais wa Marekani, Donald Trump, aone haya na ajiheshimu.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 26 na sauti
Feb 18, 2018 12:36Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 26 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Gazeti lafichua: Trump alikuwa na uhusiano haramu na mwanamitindo wa jarida la picha za ngono
Feb 17, 2018 23:42Gazeti la New Yorker la nchini Marekani limefichua kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump aliwahi kuwa na uhusiano haramu wa kingono kwa muda wa miezi tisa na mwanamke mmoja mwanamtindo wa jarida la picha za ngono.
-
Carl Bernstein: Marekani haijawahi kuwa na Rais mwongo kama Donald Trump
Feb 12, 2018 23:27Carl Bernstein, mwandishi wa habari wa Kimarekani amesema kuwa, katika historia yake Marekani haijawi kuwa na Rais mwongo kama Donald Trump.
-
Wabunge wa Marekani wamtaka Trump aendelee kuipatia misaada UNRWA
Feb 12, 2018 11:22Wawakilishi 102 wa chama cha Democrat nchini Marekani wamemuandikia barua Rais wa nchi hiyo wakimtaka asikate misaada ya kifedha kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Wapalestina na siasa za kinyama za Donald Trump
Feb 09, 2018 03:11Marekani imeshurutisha suala la kuanza tena kutoa msaada kwa Wakala wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Wakimbizi wa Palesrina (UNRWA) kwa mambo ambayo yanakinzana na maslahi ya Wapalestina.