-
Wademocrat waliotuhumiwa na Trump kuwa ni wahaini wachukizwa na matamshi hayo
Feb 06, 2018 23:04Viongozi wa chama cha Democrat nchini Marekani, wamekosoa matamshi ya Rais Donald Trump aliyewataja kuwa ni wahaini na kusema kuwa, rais huyo anafuata mienendo ya udikteta.
-
China yapinga stratijia mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia
Feb 05, 2018 23:15Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amesema nchi yake inapinga stratijia ya mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia iliyotangazwa Ijumaa
-
"Fire and Fury", kitabu kilichowasha moto wa hasira za Trump
Feb 03, 2018 15:04Mwanzoni mwa mwezi wa Januari Michael Wolf, mwandishi wa Kimarekani alianza kusambaza kitabu ambacho kimeshika nafasi ya kwanza katika orodha ya vitabu vinavyouzwa kwa wingi zaidi katika mtandao wa Amazon.
-
Trump na ungamo la udhaifu wa jeshi la Marekani
Feb 03, 2018 00:08Rais wa Marekani Donald Trump ameungama na kukiri hadharani kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu na ametaka wizara ya ulinzi, Pentagon, itengewe fedha nyingi zaidi.
-
Amri ya Trump ya kuendelea shughuli za gereza linalonuka kwa ubaya la Guantanamo
Feb 01, 2018 23:29Baada ya kupita masaa machache tu tangu Donald Trump atoe hotuba yake ya kila mwaka mbele ya Kongresi, rais huyo wa Marekani ametoa amri jela inayonuka kwa ubaya ya Guantanamo iendelee na shughuli zake.
-
Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati
Feb 01, 2018 07:50Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema suluhisho la kuundwa nchi mbili kwa ajili ya mgogoro wa Mashariki ya Kati halina chaguo jengine mbadala la kisiasa lenye itibari na la kudumu.
-
Je, Trump yuko pamoja au dhidi ya watu wa Iran?
Jan 31, 2018 23:07Rais Donald Trump wa Marekani katika hotuba yake ya kila mwaka mbele ya Bunge la Kongresi la nchi hiyo, kwa mara nyingine tena amedia kuwa eti yuko pamoja na watu wa Iran.
-
PLO: Hakuna mazungumzo na Marekani bila ya kufutwa uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Jan 31, 2018 04:40Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesisitiza kuwa, hakutafanyika mazungumzo au maonyesho yoyote yale na Marekani madhali Rais Donald Trump wa nchi hiyo hajafuta uamuzi wake wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Trump awaandikia barua viongozi wa nchi za Afrika, adai kuwa "anawaheshimu sana" Waafrika
Jan 28, 2018 00:59Rais Donald Trump wa Marekani amewaandikia barua viongozi wa nchi 55 za Afrika wanaokutana kwenye kikao cha Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia akisema kuwa "anawaheshimu sana" watu wa bara hilo.
-
Msimamo wa Umoja wa Afrika dhidi ya siasa za chuki na dharau za Trump
Jan 26, 2018 08:27Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amewataka viongozi wa bara la Afrika kujibu matamshi ya kipumbavu na ya matusi ya Rais wa Marekani dhid ya Waafrika.