-
Kusalimu amri Trump katika sera zake za vita vya kiuchumi duniani
Apr 11, 2025 04:12Rais wa Marekani Donald Trump, amesalimu amri baada ya masoko ya hisa ya Marekani kuporomoka vibaya kutokana na sera zake mbovu za kuanzisha vita vya kiudhumi na kuzipandishia ushuru bidhaa za nchi zote duniani.
-
Viongozi wa Amerika ya Latini watoa wito kupinga ushuru wa Trump
Apr 10, 2025 08:02Viongozi wa nchi za Amerika ya Latini wametaka kuweko umoja na mshikamano wa kukabiliana na ushuru wa Rais Donald Trump wa Marekani na kuyumba uchumi kunakosababishwa na hatua hizo za Trump.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza: Trump anaiburuta dunia katika ukingo wa mdodoro wa uchumi
Apr 10, 2025 07:53Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza ametahadharisha kuwa sera za kibiashara za Rais Donald Trump wa Marekani zinauelekeza uchumi wa dunia katika mdodoro hatari wa kiuchumi; na ni kupitia tu kuratibiwa hatua za kimataifa ndipo tunaweza kuzuia kukaririwa mgogoro wa uchumi kama ule ulioiathiri dunia mwaka 2008.
-
Katibu Mkuu wa UN: Ghaza ni uwanja wa mauaji, kuwahamisha Wapalestina hakukubaliki
Apr 09, 2025 03:07Katika tamko kali zaidi ambalo amewahi kutoa hadi sasa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa indhari kuhusu hali ya janga la kibinadamu inayozidi kuwa mbaya katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hitilafu za viongozi wa Ulaya kuhusu jibu la vita vya ushuru vya Trump
Apr 07, 2025 23:08Tangazo la kutoza ushuru mpya la Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya nchi 180 duniani, zikiwemo nchi za Umoja wa Ulaya, limeibua hisia tofauti kutoka kwa nchi mbalimbali duniani.
-
Kupinga Uyahudi: Kisingizio cha Trump kwa ajili ya kuweka mashinikizo kwa vyuo vikuu
Apr 04, 2025 23:44Maafisa wa serikali ya Marekani wametangaza kuwa utawala wa Donald Trump utaangalia upya bajeti ya dola bilioni 9 ya Chuo Kikuu cha Harvard kufuatia madai ya chuki dhidi ya Wayahudi kwenye chuo hicho.
-
Wall Street Journal: Trump anahaha kutaka kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran
Apr 04, 2025 23:05Gazeti la Marekani la Wall Street Journal limewanukuu maafisa wa nchi hiyo na kuripoti kuwa, Washington inajaribu kutoa mashinikizo ili iweze kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran kuhusiana na kadhia ya nyuklia.
-
Tel Aviv yakumbwa na mshtuko baada ya Trump kutangaza ushuru kwa bidhaa zote za Israel
Apr 03, 2025 08:03Maafisa wa utawala ghasibu wa Israel wamepatwa na mshtuko baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kutoza ushuru wa asilimia 17 kwa bidhaa zote za Israel, licha ya hivi majuzi Tel Aviv kuondoa ushuru wote kwa bidhaa za Marekani.
-
Marekani inapokosa mwamana; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland
Apr 02, 2025 09:13Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa na Marekani hata kama ni kwa kutumia nguvu za kijeshi.
-
Wacanada waanza "kumtia adabu" Trump, bidhaa za Marekani zasusiwa Canada
Apr 01, 2025 23:01Kuongezeka himaya na uungaji mkono wa Wacanada kwa bidhaa za nyumbani kumeibua wasiwasi kwa makampuni ya bidhaa mbalimbali ya Marekani.