-
Je, India itasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Trump?
Aug 08, 2025 02:11Siku ya Jumatano, Agosti 6, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini amri ya kuweka ushuru wa ziada wa asilimia 25 dhidi ya bidhaa za India ili kukabiliana na hatua ya nchi hiyo ya kuendelea kununua mafuta ya Russia, na hivyo kuongeza ushuru jumla kwa bidhaa za India hadi asilimia 50.
-
Je, Afrika Kusini inafanya nini kukabiliana na ushuru mpya wa kibiashara wa Marekani?
Aug 07, 2025 08:19Wizara ya Biashara ya Afrika Kusini imetangaza kuwa imechukua hatua kadaa mpya za kukabiliana na ushuru mpya wa kibiashara wa Marekani.
-
Kwa nini majimbo ya Marekani yanaadhibiwa kwa sababu ya kuitetea Palestina?
Aug 05, 2025 14:24Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kukata bajeti ya dharura ya kukabiliana na majanga ya asili na kudhamini usalama wa ndani wa majimbo na miji ya Marekani inayounga mkono Palestina na kususia makampuni ya Israel.
-
UN: Tangu Mei, Wapalestina 1,500 wameuawa Ghaza wakihangaika kupata msaada wa chakula
Aug 05, 2025 07:11Umoja wa Mataifa umesema Wapalestina 1,500 wameuawa huko Ghaza tangu mwezi Mei hadi sasa wakati wanahangaika kutafuta msaada wa kibinadamu.
-
Nyaraka za UK: Mubarak aliidhinisha mpango wa US na UK wa 'kumdhalilisha' Saddam Kuwait
Aug 03, 2025 05:40Nyaraka za siri za Uingereza zilizowekwa hadharani hivi karibuni zimefichua kwamba rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak, aliunga mkono mpango wa Marekani na Uingereza wa kumshinda kijeshi na kumdhalilisha Saddam Hussein wakati wa Vita vya Ghuba ya Uajemi, huku akitabiri pia kwamba kushindwa huko kijeshi kungepelekea kuanguka kiongozi huyo wa Iraq.
-
Sweden: Ukraine lazima iseme 'ndiyo' kwa ndoa za jinsia moja kama sharti la kujiunga na EU
Aug 02, 2025 11:48Waziri Mkuu wa Sweden Ulf Kristersson amesema, Ukraine inapaswa kutoa ulinzi kamili wa kisheria kwa 'mashoga', ikiwa ni pamoja na wa ndoa za jinsia moja, kama sehemu ya juhudi zake za kupigania kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya,
-
Trump akasirishwa na matamshi ya Medvedev
Aug 01, 2025 02:46Akijibu indhari iliyotolewa hivi karibuni na rais wa zamani wa Russia kwa White House, Rais wa Marekani amesema kuwa: " Mwambie Medvedev achunge maneno yake".
-
Waziri Mkuu wa Hungary: Tishio la kutokea Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia linazidi kuongezeka
Jul 27, 2025 09:55Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban amesema tishio la kuzuka Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia linazidi kuongezeka na kwamba Jamii ya Kimataifa inapaswa ifanye kila iwezalo kulizuia.
-
Kwa nini Marekani imejiondoa rasmi UNESCO?
Jul 23, 2025 08:58Marekani ilitangaza Jumanne, Julai 22, kwamba imejiondoa rasmi katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO.
-
Jibu kwa swali la leo; kwa nini Trump amewatishia tena wanachama wa BRICS?
Jul 21, 2025 12:49Rais wa Donald Trump Marekani amekariri tena tishio lake la kuzitoza ushuru wa ziada nchi wanachama wa kundi la BRICS.