Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • UN yasikitishwa na hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC

    UN yasikitishwa na hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC

    Jun 13, 2020 00:03

    Umoja wa Mataifa umeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.

  • Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa

    Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa

    Jun 12, 2020 22:35

    Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza ushari wake wa kutojali, kuponda na kutoa vitisho dhidi ya taasisi za kimataifa. Hadi hivi sasa Trump ameshaitoa Marekani kwenye taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa kama vile UNESCO na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na hivi sasa ametishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.

  • Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Jun 12, 2020 03:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na kusema, hivi sasa ICC inahujumiwa na genge la wahalifu wambao wanajiarifisha kuwa ni wanadiplomasia."

  • ICC: Vikwazo vya Marekani ni ukiukaji wa mkondo wa utekelezaji sheria

    ICC: Vikwazo vya Marekani ni ukiukaji wa mkondo wa utekelezaji sheria

    Jun 12, 2020 02:26

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepinga vikwazo ilivyowekewa na Marekani na kuvitaja kuwa ni juhudi zisizokubalika katika utekelezaji sheria.

  • Trump apongeza polisi ya Marekani, apuuza kilio cha waandamanji kuhusu ubaguzi

    Trump apongeza polisi ya Marekani, apuuza kilio cha waandamanji kuhusu ubaguzi

    Jun 11, 2020 22:36

    Rais Donald Trump wa Marekani amelipongeza jeshi la polisi nchini humo huku akipuuzilia mbali kilio cha waandamanaji ambao wanasema kuna ubaguzi mkubwa katika jeshi hilo.

  • Kukiri Joe Biden kuwa, ubaguzi wa rangi umekita mizizi katika jeshi la polisi la Marekani

    Kukiri Joe Biden kuwa, ubaguzi wa rangi umekita mizizi katika jeshi la polisi la Marekani

    Jun 11, 2020 01:39

    Mauaji ya kinyama na ya kutisha aliyofanyiwa George Floyd, Mmarekani Mwafrika ambayo yamefanywa na polisi mzungu kwa damu baridi tena mchana kweupe katika mji wa Minneapolis huko Minnesota Marekani, yamewasha moto wa kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo. Hivi sasa kinacholaumiwa ni jinsi ubaguzi wa rangi ulivyokita mizizi nchini Marekani tena katika taasisi zote na kati ya wanasiasa wa ngazi za juu wa nchi hiyo.

  • Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani

    Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani

    Jun 07, 2020 07:25

    Uhusiano wa Marekani na Ujerumani katika mtazamo mpana wa kupungua uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Marekani umekumbwa na mvutano hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump.

  • "Trump anaongoza magaidi waliovaa tai huko White House"

    Jun 06, 2020 07:10

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, wananchi waliostaarabika wa Iran wanamtambua vyema mkuu wa magaidi waliovaa tai katika Ikulu ya Marekani, White House.

  • Mauaji ya George Floyd yaporomosha vibaya umaarufu wa Trump nchini Marekani

    Mauaji ya George Floyd yaporomosha vibaya umaarufu wa Trump nchini Marekani

    Jun 06, 2020 06:59

    Wimbi la maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji watu wasio wazungu linaendelea nchini Marekani huku kiwango cha umaarufu wa rais wa nchi hiyo, Donald Trump kikiporomoka vibaya na kufikia asilimia 44.

  • Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Jun 06, 2020 03:41

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ametoa pendekezo la kufanyika duru mpya ya mazungumzo ya nyuklia na Tehran na kusisitiza kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kumshinda adui.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS