Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump atumia mtandao wa kijamii kutishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Trump atumia mtandao wa kijamii kutishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    May 27, 2020 21:52

    Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuwa atatumia nguvu zake kuzima na kufunga mitandao ya kijamii nchini humo.

  • Trump akosolewa na

    Trump akosolewa na "Twitter" kwa kupotosha juu ya uchaguzi

    May 27, 2020 03:27

    Shirika la Twitter limemkosoa Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuchapisha katika mtandao huo wa kijamii taarifa za kupotosha kuhusu uchaguzi mkuu ujao wa nchi hiyo.

  • Mtengeneza filamu wa Marekani: Trump atashinda tu iwapo kutafanyika uchakachuji katika uchaguzi

    Mtengeneza filamu wa Marekani: Trump atashinda tu iwapo kutafanyika uchakachuji katika uchaguzi

    May 23, 2020 22:22

    Mtengeneza filamu mashuhuri wa nchini Marekani amebainisha kwamba, njia pekee inayoweza kumfanya Rais Donald Trump wa nchi hiyo aibuke mshindi katika uchaguzi ujao ni uchakachuaji.

  • Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    May 20, 2020 02:22

    Rais wa Marekani amesema uwepo wa askari wa nchi yake huko Afghanistan ni kwa faida ya Taliban na hivyo kundi hilo halitaki askari wa Marekani waondoke.

  • Trump atishia kujiondoa WHO, asema shirika hilo ni kikaragosi cha China

    Trump atishia kujiondoa WHO, asema shirika hilo ni kikaragosi cha China

    May 19, 2020 03:09

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiondoa Marekani kwenye Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.

  • Onyo la Steven Mnuchin juu ya uwezekano wa kusambaratika uchumi wa Marekani

    Onyo la Steven Mnuchin juu ya uwezekano wa kusambaratika uchumi wa Marekani

    May 17, 2020 07:51

    Kuenea kwa virusi vya Corona nchini Marekani kumeisababishia jamii ya nchi hiyo matatizo makubwa ya kila upande hususan kwenye upande wa uchumi.

  • Vitisho vikubwa vya Trump kwa China; upayukaji au kampeni za uchaguzi?

    Vitisho vikubwa vya Trump kwa China; upayukaji au kampeni za uchaguzi?

    May 16, 2020 02:05

    Tangu alipoingia madarkani Donald Trump huko Marekani, rais huyo mwenye majigambo mengi amekuwa akifuata siasa maalumu dhidi ya China na kuishinikiza Beijing katika pande mbalimbali.

  • Trump: Sitaki kuzungumza na Rais Xi, huenda tutakata uhusiano wetu na China

    Trump: Sitaki kuzungumza na Rais Xi, huenda tutakata uhusiano wetu na China

    May 15, 2020 08:00

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema haoni umuhimu wowote wa kufanya mazungumzo na mwenzake wa China, Xi Jinping, kauli ambayo inaweka bayana kuzidi kuharibika uhusiano wa Washington na Beijing wakati huu wa janga la kimataifa la corona.

  • Mousavi: Utendaji mbovu wa Trump umepelekea wauguzi Marekani wapate mashinikizo

    Mousavi: Utendaji mbovu wa Trump umepelekea wauguzi Marekani wapate mashinikizo

    May 12, 2020 21:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utendaji mbovu wa serikali ya Donald Trump ndio chanzo cha mashinikizo makubwa kwa wauguzi nchini Marekani.

  • Biden aendesha kampeni kwa njia ya siri ya kuunda kundi la Warepublican wanaompinga Trump

    Biden aendesha kampeni kwa njia ya siri ya kuunda kundi la Warepublican wanaompinga Trump

    May 11, 2020 03:36

    Sambamba na kupamba moto harakati za uchaguzi za Joe Biden ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat, chombo kimoja cha habari nchini humo kimeripoti kuwa, mgombea huyo anaendesha kampeni kwa njia ya siri ya kuunda kundi la Warepublican wa kumuunga mkono.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS