-
Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani
Feb 15, 2020 04:20Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump Marekani imefanya jitihada nyingi za kutaka kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolás Maduro na badala yake kuiingiza madarakani serikali kibaraka itakayoongozwa na Juan Guaidó.
-
Pelosi: Kumzuia Trump kuanzisha vita dhidi ya Iran ni kwa maslahi ya Wamarekani
Feb 14, 2020 08:31Spika wa Bunge la Wawakilishi katika Kongresi ya Marekani, Nancy Pelosi, ametoa taarifa baada ya kupitishwa azimio la Baraza la Seneti la kumuwekea vizingiti rais wa nchi hiyo kuhusu kuanzisha vita dhidi ya Iran.
-
Juhudi za Kongresi za kupunguza uchu wa vita wa Trump
Feb 13, 2020 08:14Uchu wa vita wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na hasa baada ya kumuuga kigaidi Luteni Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na watu wengine kadhaa aliokuwa ameandamana nao huko Iraq, umezua wasiwasi mkubwa ndani ya Kongresi ya Marekani na hasa kwa Wademokrat, na hivyo kuwafanya watafute njia ya haraka ya kupunguza madaraka ya Trump katika kuanzisha vita na Iran.
-
Afisa mwandamizi wa serikali ya Bush: Kisasi ilicholipiza Iran kwa mauaji ya Soleimani kimempa somo Trump
Feb 13, 2020 04:12Kanali mstaafu Lawrence Wilkerson, aliyekuwa pia mkuu wa ofisi ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Colin Powell amesema, jibu ililotoa Iran kwa mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani limempa somo na funzo rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mashambulio yoyote atakayofikiria kuyafanya siku za usoni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Serikali ya Trump yajifanya kuwa msimamizi wa Uingereza; indhari juu ya shirika la Huawei
Feb 09, 2020 23:37Baada ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya hapo tarehe 31 Januari mwaka huu, Boris Johnson, Waziri Mkuu muhafidhina wa Uingereza amekuwa na matarajio makubwa ya kuanzisha uhusiano mkubwa na Marekani.
-
Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa "Muamala wa Karne" wa Trump
Feb 08, 2020 23:07Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzindua mpango kwa jina la 'Muamala wa Karne' tarehe 28 Januari mwaka huu ambao umewasilishwa eti kwa ajili ya kutatua mzozo wa muda mrefu kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni, umepingwa vikali ndani na nje ya Marekani.
-
Wajumbe zaidi ya 100 wa Baraza la Wawakilishi Marekani waukataa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Feb 08, 2020 09:27Wajumbe 107 wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua rais wa nchi hiyo Donald Trump wakiupinga vikali mpango wake alioupa jina la "Muamala wa Karne".
-
Kumalizika mchakato wa kuuzuliwa Trump, kuendelea mgawanyiko wa kisiasa Marekani
Feb 06, 2020 21:41Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya vuta nikuvute nchini Marekani, kadhia ya kuuzuliwa rais wa nchi hiyo imemalizika baada ya Baraza la Seneti linalohodhiwa na Warepublican kumtoa hatiani Donald Trump na kufumbia macho utumiaji wake vibaya madaraka.
-
Wademocrat wajiandaa kususia hotuba ya kila mwaka ya Trump
Feb 03, 2020 10:14Wabunge wa chama cha Democrat katika bunge la wawakilishi nchini Marekani, sambamba na kufanya harakati za malalamiko, wanajiandaa kususia hotuba ya kila mwaka ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Trump afurahia virusi vya Corona, asema vitainua uchumi wa Marekani
Jan 31, 2020 21:45Waziri wa Biashara nchini Marekani Wilbur Ross amesema kwamba mripuko mbaya wa virusi vya Corona nchini China unaweza kuinua uchumi wa Marekani.