Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Madai ya Trump kuhusu mchakato wa kupunguza askari wa Marekani walioko Iraq

    Madai ya Trump kuhusu mchakato wa kupunguza askari wa Marekani walioko Iraq

    Jan 31, 2020 03:35

    Baada ya kupita siku mbili tu tangu askari wa Marekani walipomuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la IRGC na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine walioandamana nao katika uwanja wa ndege wa Baghdad, tarehe 5 Januari, bunge la Iraq lilipitisha muswada wa kuwatimua askari wa muungano vamizi eti wa kupambana na Daesh (ISIS) wakiwemo askari wa Marekani.

  • Wagombea wa urais Marekani wakosoa 'mpango wa amani' wa Trump

    Wagombea wa urais Marekani wakosoa 'mpango wa amani' wa Trump

    Jan 30, 2020 23:11

    Wagombea wa chama cha Democrat kwenye uchaguzi wa rais wa mwaka huu 2020 nchini Marekani wamekosoa vikali kile kinachotajwa kuwa mpango wa amani uliozinduliwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wakisisitiza kuwa, pendekezo hilo lililopewa jina la wa 'Muamala wa Karne' halitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kushadidisha mgogoro baina Palestina na Israel.

  • Radiamali ya ulimwengu wa Kiarabu kwa mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne

    Radiamali ya ulimwengu wa Kiarabu kwa mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne

    Jan 30, 2020 08:30

    Jumanne ya juzi tarehe 28 Rais Donald Trump wa Marekani alizindua rasmi mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne.

  • Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu

    Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu

    Jan 28, 2020 08:28

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema madhumuni ya njama za Marekani dhidi ya Wapalestina kwa jina la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha na kuwatweza Waislamu.

  • Wamarekani wafanya maandamano katika majimbo 40 kupinga siasa mbovu za Trump dhidi ya Iran

    Wamarekani wafanya maandamano katika majimbo 40 kupinga siasa mbovu za Trump dhidi ya Iran

    Jan 27, 2020 01:12

    Raia wa Marekani katika majimbo 40 ya nchi hiyo wamemiminika mitaani katika maandamano makubwa ya kupinga siasa mbovu za serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mbunge wa Kogresi ya Marekani: Matamshi ya Trump kuhusu askari waliojeruhiwa Ain Al-Assad yalikuwa mabaya sana

    Mbunge wa Kogresi ya Marekani: Matamshi ya Trump kuhusu askari waliojeruhiwa Ain Al-Assad yalikuwa mabaya sana

    Jan 27, 2020 00:56

    Mwakilishi wa bunge la Kongresi kutoka jimbo la Texas nchini Marekani amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump aliyoyatoa kuhusiana na madhara waliyoyapata askari wa Kimarekani katika shambulio la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Ain Al-Assad na kuyataja kuwa 'mabaya sana.'

  • Obama: Donald Trump ni Mfashisti

    Obama: Donald Trump ni Mfashisti

    Jan 27, 2020 00:54

    Seneta wa jimbo la Virginia nchini Marekani amesema kuwa, katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2016, Rais Barack Obama wa wakati huo alimtaja Donald Trump kuwa ni Mfashisti.

  • Maandamano dhidi ya sera ya kupenda vita ya Marekani yafanyika duniani

    Maandamano dhidi ya sera ya kupenda vita ya Marekani yafanyika duniani

    Jan 26, 2020 09:34

    Maandamano yameshuhudiwa katika nchi mbalimbali duniani kupinga sera ya kupenda vita ya Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kupinga hatua yoyote ya Washington ya kuanzisha vita na Iran.

  • Maveterani wa kivita Marekani wamtaka Trump aombe radhi kwa kudharau hasara kubwa iliyosababishwa na kipigo cha Iran

    Maveterani wa kivita Marekani wamtaka Trump aombe radhi kwa kudharau hasara kubwa iliyosababishwa na kipigo cha Iran

    Jan 25, 2020 23:50

    Kundi moja la maveterani wa vita vya nje ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aombe radhi kwa kudharau madhara waliyopata wanajeshi wa Marekani baada ya kambi yao ya Ain al Assad ya nchini Iraq kushambuliwa kwa makumi ya makombora ya Iran.

  • Pentagon yakiri tena: Makumi ya askari wa Marekani walipatwa na madhara katika shambulio la makombora la Iran

    Pentagon yakiri tena: Makumi ya askari wa Marekani walipatwa na madhara katika shambulio la makombora la Iran

    Jan 25, 2020 23:21

    Alfajiri ya Jumatano Januari 8 mwaka huu Iran ilishambulia kwa makombora kambi ya jeshi la Marekani ya Ain al Asad huko Iraq ikiwa ni katika kutimiza ahadi yake ya kulipiza kisasi kikali cha mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na serikali ya Trump dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wenzake huko Baghdad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS