Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Radiamali ya Wademocrats dhidi ya uungaji mkono wa Rais Donald Trump kwa jenerali Khalifa Haftar

    Radiamali ya Wademocrats dhidi ya uungaji mkono wa Rais Donald Trump kwa jenerali Khalifa Haftar

    Apr 22, 2019 02:42

    Nchi yenye utajiri wa mafuta ya Libya ambayo kijiografia ipo kaskazini mwa Afrika, imekuwa ikishuhudia vurugu, machafuko na vita vya ndani tangu mwaka 2011.

  • Seneta wa Marekani ataka Trump ang'olewe madarakani

    Seneta wa Marekani ataka Trump ang'olewe madarakani

    Apr 21, 2019 21:06

    Seneta wa chama cha Democrats nchini Marekani ametoa mwito wa kuanzishwa mchakato wa kuuzuliwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

  • Walibya waandamana kulaani hatua ya Trump kumpigia simu Jenerali Haftar

    Walibya waandamana kulaani hatua ya Trump kumpigia simu Jenerali Haftar

    Apr 20, 2019 08:37

    Wananchi wa Libya wamefanya maandamano mjini Tripoli kukosoa hatua ya Rais Donald Trump kumpigia simu jenerali muasi Khalifa Haftar mwenye makao yake katika mji wa Benghazi, magharibi mwa Libya, na ambaye amekuwa akiendesha kampeni ya kijeshi ya kutaka kuuteka mji mkuu Tripoli.

  • Trump aionya ICC dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na Israel

    Trump aionya ICC dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na Israel

    Apr 13, 2019 03:35

    Rais Donald Trump ameionya vikali Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Apr 11, 2019 23:55

    Rais Michel Aoun wa Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, tangazo la Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na umiliki wa utawala vamizi wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria linakinzana na maazimio ya kimataifa.

  • Jamii ya kimataifa yaendelea kukosoa tangazo la Trump dhidi ya IRGC ya Iran

    Jamii ya kimataifa yaendelea kukosoa tangazo la Trump dhidi ya IRGC ya Iran

    Apr 10, 2019 03:27

    Nchi mbalimbali duniani zimeendelea kukosoa hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi.

  • Afisa mmoja wa Russia asema jeshi la SEPAH ni muhimu katika kulinda usalama Asia Magharibi

    Afisa mmoja wa Russia asema jeshi la SEPAH ni muhimu katika kulinda usalama Asia Magharibi

    Apr 09, 2019 03:19

    Mjumbe wa Kamisheni ya Mambo ya Kimataifa ya Bunge la Russia (DUMA) amesema kuwa, jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH lina nafasi muhimu katika kulinda usalama wa eneo la Asia Magharibi.

  • Mashtaka manane dhidi ya Trump kuwasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Marekani

    Mashtaka manane dhidi ya Trump kuwasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Marekani

    Apr 08, 2019 11:54

    Mjumbe mwandamizi wa kamati ya Intelijensia ya Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema mashtaka manane ya tuhuma dhidi ya rais Donald Trump yatawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo.

  • Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ajiuzulu

    Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ajiuzulu

    Apr 08, 2019 03:24

    Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani, Kirstjen Nielsen ambaye amekuwa akikosolewa vikali kwa kuongoza utekelezaji wa sera ya kikatili ya kuwatenganisha watoto wadogo na wazazi wao wahajiri katika mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mexico amejiuzulu.

  • Wasiwasi wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na hatua ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)

    Wasiwasi wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na hatua ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)

    Apr 08, 2019 03:04

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye alishika hatamu za uongozi wa nchi hiyo Januari mwaka 2017, ameamua kuchukua mkondo wa kupuuza, kukosoa na kujiondoa katika taasisi za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS