-
Trump: Marekani imejaa hadi pomoni, hatuwezi kupokea watu wengine
Apr 06, 2019 03:16Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kutoa matamshi yake ya kibaguzi na chuki dhidi ya wahajiri, kwa kusema kuwa nchi hiyo imejaa hadi pomoni, na wala haina uwezo wa kupokea watu zaidi.
-
Kutosalimu amri katu taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya Marekani
Apr 01, 2019 20:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kwa hatua zilizo dhidi ya Iran za Rais Donald Trump na kusema kuwa, Wairani katu hatawasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.
-
Sanders: Maelfu ya Wamarekani katika hatari ya kufa kutokana na sera mbovu ya afya ya Trump
Apr 01, 2019 10:37Seneta Bernie Sanders ambaye ametangaza rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema maelfu ya wananchi wa nchi hiyo wako katika hatari ya kupoteza maisha iwapo mpango wa Rais Donald Trump wa kufuta sheria ya bima nafuu ya afya utafanikiwa.
-
Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Mar 31, 2019 22:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua dhidi ya Iran zinazochukuliwa na Marekani na kusema: "Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani."
-
Taasisi ya Brookings ya Marekani: Muqawama wa Iran umeichakaza timu ya Trump
Mar 30, 2019 22:00Taasisi ya utafiti ya Brookings nchini Marekani imekiri kuwa muelekeo unaofuatwa hivi sasa na timu ya utawala wa Donald Trump kwa madhumuni ya kuipigisha magoti Iran ikidhi matakwa ya Washington haujafanikiwa.
-
Ulegevu na msimamo dhaifu wa Ulimwengu wa Kiarabu kuhusiana na njama ya Trump dhidi ya Golan ya Syria
Mar 29, 2019 03:39Wakati dunia inamshuhudia Donald Trump akichukua hatua kinyume cha sheria ya kutambua rasmi umiliki haramu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa eneo la ardhi ya Syria la miinuko ya Golan, nchi za Kiarabu zingali zinaendelea kutosheka na utoaji kauli na maneno matupu, pasi na kuchukua hatua yoyote ya kivitendo kuhusiana na suala hilo.
-
Indhari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU kuhusu uenezaji chuki dhidi ya Uislamu
Mar 28, 2019 00:07Mashambulizi ya kigaidi ya makundi yenye kuchupa mipaka hususan magaidi wa Daesh huko barani Ulaya na Marekani yamepelekea kuandaliwa uwanja wa kushadidishwa mashambulizi ya propaganda na kuibua anga ya vita vya kisaikolojia dhidi ya dini ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla.
-
Rais Rouhani: Uamuzi wa Donald Trump kuhusu miinuko ya Golan ni wa kikoloni
Mar 26, 2019 22:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiisamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua miinuko ya Golan ya Syria kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel ni wa kikoloni.
-
Malalamiko ya Wademocrat wa Marekani kwa ripoti ya Mike Mueller
Mar 26, 2019 22:08Ushindi wa ghafla na uliojaa utata alioupata Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwezi Novemba 2016 ulipokewa kwa hasira kubwa na chama cha Democrat cha nchi hiyo.
-
Syria: Tangazo la Trump kuhusu Golan haliwezi kubadilisha chochote
Mar 26, 2019 03:02Syria imesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kutambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa milki ya utawala haramu wa Israel katu haiwezi kubadilisha ukweli kwamba miinuko hiyo ni mali halali ya Syria.