-
Trump: Mauaji ya Khashoggi hayatatufanya tufute mauzo ya silaha kwa Saudia
Oct 12, 2018 04:09Rais Donald Trump wa Marekani amesema Washington haiwezi kujiweka katika hatari ya kupoteza mabilioni ya dola kutokana na 'madai ya kuuawa' Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mpinzani mkubwa wa utawala wa Aal-Saud, katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul, Uturuki siku chache zilizopita.
-
Trump awashambulia marafiki na maadui zake
Oct 11, 2018 23:11Tangu aingie madarakani nchini Marekani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekuwa akitekeleza siasa ambazo zimeifanya dunia kuwa uwanja wa malumbano na mivutano.
-
Mkaguzi wa serikali ya Marekani ataka kuchunguzwa sababu za kujiuzulu Halley
Oct 10, 2018 02:35Mkaguzi wa serikali ya Marekani ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu sababu za kujiuzulu mwakilishi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa.
-
New York Times: Mauaji ya Khashoggi ni nembo na kielelezo cha ushirikiano wa Trump na madikteta
Oct 09, 2018 21:55Gazeti la New York Times linalochapishwa nchini Marekani limesema, mauaji ya mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Saudi Arabia ni kielelezo cha ushirikiano na jinsi rais wa Marekani alivyo kitu kimoja na madikteta.
-
Nikki Haley, balozi wa Marekani UN ajiuzulu, Trump aridhia
Oct 09, 2018 13:01Rais Donald Trump wa Marekani amekubali uamuzi wa kujiuzulu balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa, Nikki Haley.
-
Kimya cha Trump kuhusiana na mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudia chatiliwa shaka
Oct 07, 2018 23:05Gazeti la Ra'yul-Yaum limeandika kuwa kimya cha Rais wa Marekani kuhusiana na mauaji ya mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud kinatia shaka.
-
The Independent: Kadhia ya Khashoggi imezidi kudhihirisha jinsi utawala wa Saudia ulivyo dhaifu
Oct 07, 2018 12:00Gazeti la The Independent linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa kusadifiana mkasa wa kuuliwa mwandishi wa habari mkoasoaji wa utawala wa Aal Saud sambamba na matamshi ya udhalilishaji yaliyotolewa na rais wa Marekani kuhusu Saudi Arabia kumezidi kudhihirisha jinsi utawala huo ulivyo dhaifu.
-
Baada ya udhalilishaji wa Trump kwa Saudia, Bin Salman asema anapenda kufanya kazi naye
Oct 06, 2018 01:33Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutoa matamshi ya kuwadhalilisha watawala wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo amejibu matamshi hayo kwa kumsifia rais huyo wa Marekani.
-
Trump: Saudi Arabia inapasa kuipatia Marekani fedha zaidi
Oct 05, 2018 04:13Rais wa Marekani amewaambia viongozi wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia kuwa wanapaswa kulipa gharama za vikosi vya Marekani ambavyo vinailinda nchi hiyo.
-
Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani
Oct 05, 2018 03:07Russia na India zimeimarisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijeshi na silaha za nyuklia katika kipindi cha baada ya Vita Baridi na wakati huo huo zikiwa wanachama wa kundi la Brics, zinafnya jitihada za kupanua zaidi ushirikiano wa pande mbili.