-
Hatua za Donald Trump na kuongezeka hali ya kutokuwa na imani walimwengu kwa Marekani
Oct 02, 2018 23:12Siasa za upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani zimepelekea kuongezeka hali ya kutengwa nchi hiyo ulimwenguni.
-
Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo
Sep 30, 2018 04:04Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akiyakosoa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalitiwa saini Julai 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani akiyataja kuwa makubaliano mabaya kabisa.
-
Trump azishauri nchi za Ulaya kujenga ukuta katika Jangwa la Sahara.
Sep 21, 2018 23:33Katika kuendeleza siasa zake zilizo dhidi ya uhamiaji na huku akiamini kwamba ujenzi wa kuta ndiyo njia bora zaidi ya kukabiliana na suala hilo, Rais Donald Trump wa Marekani amezishauri nchi za Ulaya kujenga ukuta katika Jangwa la Sahara ili kukabiliana na wimbi la wahajiri wa Kiafrika wanaohama nchi zao kuelekea nchi hizo.
-
Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamtaka Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina
Sep 21, 2018 03:16Wabunge 40 wa Kongresi ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina.
-
Ushauri wa Trump kwa Ulaya: Jengeni ukuta wa kizuizi eneo la Afrika la Jangwa la Sahara
Sep 21, 2018 02:58Vyombo vya habari vya Uhispania vimefichua kuwa rais wa Marekani amezishauri nchi za Ulaya zitumie mbinu ya kujenga ukuta wa kizuizi kukabiliana na wahajiri kutoka Afrika.
-
Mike Pompeo: John Kerry anafanya juhudi kubwa za kuidhoofisha serikali ya Trump
Sep 20, 2018 10:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo sambamba na kumkosoa vikali waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo, John Kerry, kwa mara nyingine amesema kuwa, Kerry anafanya njama kubwa zenye lengo la kuidhoofisha serikali ya Rais Donald Trump.
-
Msimamo wa Theresa May wa kuitetea Israel, harakati ya kufuata nyayo za Trump
Sep 19, 2018 02:06Serikali ya Kihafidhina (Conservative) ya Uingereza inahesabiwa kuwa miongoni mwa watetezi na waungaji mkono wakubwa wa utawala wa Kizayuni wa Israel na licha ya jinai na uhalifu mkubwa unaofanywa na utawala huo dhidi ya watu wa Palestina, lakini hakushuhudiwi mabadiliko ya aina yoyote katika mienendo ya London katika uwanja huu.
-
Sisitizo la IAEA la kutekeza Iran makubaliano ya nyuklia; na njama mpya za Donald Trump dhidi ya JCPOA
Sep 18, 2018 07:06Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalitiwa saini Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1, linaloundwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, China, Russia pamoja na Ujerumani na kuanza kutekelezwa Januari 2016.
-
Trump atoa amri ya kuzipandishia tena ushuru bidhaa za China za thamani ya Dola bilioni 200
Sep 18, 2018 00:08Rais Donald Trump wa Marekani amezipandishia ushuru wa asilimia 10 bidhaa za China zinazoingizwa nchi hiyo, ambazo zinakadiriwa kuwa za thamani ya Dola bilioni 200.
-
Adam Schiff: Trump ana wasi wasi wa kuanikwa na mkuu wake wa zamani wa kampeni za uchaguzi
Sep 17, 2018 03:13Adam Schiff, mjumbe wa baraza la wawakilishi katiba bunge la Marekani amezungumzia wasi wasi wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo juu wa kufichuliwa habari zake na aliyekuwa mkuu wa kampeni zake katika uchaguzi wa rais uliopita nchini humo.