Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Ethiopia yaanza kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha

    Ethiopia yaanza kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha

    Jul 17, 2021 08:18

    Serikali ya Ethiopia imeanza zoezi la kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha bila ya kujali kukubali au kukataa nchi mbili za Misri za Sudan zilizolalamikia vikali zoezi hilo.

  • RSF yalaani kukamatwa waandishi habari nchini Ethiopia, yaamuru waachiwe huru

    RSF yalaani kukamatwa waandishi habari nchini Ethiopia, yaamuru waachiwe huru

    Jul 13, 2021 23:37

    Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF) imelaani kile ilichokiita "kukamatwa kwa umati" kwa waandishi wa habari 12 wa Ethiopia ambao walitiwa nguvuni ili "kuwazuia kuchunguza kwa uhuru mzozo unaoendelea katika eneo la Tigray".

  • Abiy Ahmed: Hatuzungumzi na yeyote kuhusu manufaa yetu ya kitaifa ya bwawa la al Nahdha

    Abiy Ahmed: Hatuzungumzi na yeyote kuhusu manufaa yetu ya kitaifa ya bwawa la al Nahdha

    Jul 12, 2021 22:06

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema baada ya kupata ushindi chama chake katika uchaguzi wa Bunge kwamba, kabla ya bwawa la al Nahdha kuwa na manufaa ya uzalishaji wa nishati, lina manufaa makubwa zaidi kwa Ethiopia katika kutangaza nguvu na mshikamano wa wananchi wake.

  • Ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa Bunge nchini Ethiopia na changamoto za baadaye

    Ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa Bunge nchini Ethiopia na changamoto za baadaye

    Jul 12, 2021 03:00

    Hatimaye na baada ya kuahirishwa kwa miezi kadhaa, matokeo ya uchaguzi wa Bunge na serikali za mitaa yanaonesha kuwa, chama tawala nchini Ethiopia kimeibuka na ushindi kwa kupata viti 410 vya Bunge.

  • Ripoti: Eneo la Pembe ya Afrika liko katika ncha ya vita na machafuko

    Ripoti: Eneo la Pembe ya Afrika liko katika ncha ya vita na machafuko

    Jul 07, 2021 01:22

    Ripoti zinaonesha kuwa eneo la Pembe ya Afrika hususan nchi za Ukanda wa Mto Nile zinakabiliwa na hatari ya vita na machafuko makubwa baada ya Ethiopia kuanza awamu ya pili ya kujaza maji katika Bwawa la Renaissance.

  • Balozi wa Ethiopia alalamikia kugeuzwa Bwawa la al Nahdha kuwa kadhia ya kisiasa

    Balozi wa Ethiopia alalamikia kugeuzwa Bwawa la al Nahdha kuwa kadhia ya kisiasa

    Jul 05, 2021 01:40

    Balozi wa Ethiopia nchini Sudan amesema kuwa, inasikitisha kuona kwamba kumeingizwa siasa katika mradi wa Bwawa la al Nahdha wakati ambapo tangu mwanzo huo ulikuwa ni mradi wa maendeleo tu.

  • Ombi la Misri na Sudan kwa Baraza la Usalama; mgogoro wa Bwawa la An Nahda

    Ombi la Misri na Sudan kwa Baraza la Usalama; mgogoro wa Bwawa la An Nahda

    Jun 28, 2021 05:56

    Huku awamu ya pili ya kujazwa maji katika Bwawa la An Nahda (Grand Renaissance Dam-GERD-) la Ethiopia katika Mto Nile ikikaribia, Misri na Sudan, nchi mbili ambazo zinapinga ujenzi wa bwawa hilo, zimetaka ujazwaji maji huo usitishwe kwa muda. Nchi hizo mbili zimetaka Ethiopia izipatie dhamana kuwa haki zao zitalindwa, jambo ambalo limeibua taharuki mpya baina ya nchi hizo tatu.

  • Sudan yakubali kwa masharti makubaliano ya muda ya Bwawa la Renaissance

    Sudan yakubali kwa masharti makubaliano ya muda ya Bwawa la Renaissance

    Jun 28, 2021 04:57

    Waziri wa Mambo ya nje wa Sudan Mariam Al-Sadiq Al-Mahdi amesema kuwa nchi yake imepokea pendekezo kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo la makubaliano ya muda ya kujazwa maji Bwawa la Renaissance yanayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa na Marekani.

  • Ethiopia yapinga hatua ya Sudan ya kutaka UN ijadili kadhia ya Bwawa la Renaissance

    Ethiopia yapinga hatua ya Sudan ya kutaka UN ijadili kadhia ya Bwawa la Renaissance

    Jun 25, 2021 22:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Ethiopia, Dina Mufti amepinga wito uliotolewa na Sudan wa kufanya kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili mgogoro wa Bwawa la Renaissance, akisema ujenzi wa bwawa hilo ni mradi wa maendeleo ambao si katika masuala yanayolihusu baraza hilo lililopewa dhamana ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa.

  • Makumi wauawa katika shambulio la anga sokoni kaskazini mwa Ethiopia

    Makumi wauawa katika shambulio la anga sokoni kaskazini mwa Ethiopia

    Jun 23, 2021 23:11

    Makumi ya watu wameuawa katika shambulio la anga dhidi ya soko moja katika eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS