-
Kura za uchaguzi wa Bunge Ethiopia zaendelea kuhesabiwa, mahudhurio ya wananchi yalikuwa makubwa
Jun 22, 2021 06:27Mchakato wa kuhesabu kura za uchaguzi wa Bunge na serikali za mitaa unaendelea nchini Ethiopia huku yombo vya usalama vikisema umefanyika kwa amani na usalama, ukitupilia mbali malalamiko machache ya hapa na pale.
-
Waethiopia wapiga kura katika uchaguzi muhimu wa Bunge
Jun 21, 2021 06:03Mamilioni ya wananchi wa Ethiopia mapema leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa ajii ya kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la nchi hiyo, uchaguzi ambao umesusiwa na baadhi ya vyama vya upinzani.
-
Abiy aahidi uchaguzi wa amani; vyama vyamaliza kampeni kuelekea uchaguzi
Jun 17, 2021 08:47Vyama vya kisiasa vitakavyoshiriki katika uchaguzi wa bunge ulioakhirishwa mara mbili huko Ethiopia vimemaliza kampeni zao huku Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed akiahidi kuendesha uchaguzi kwa amani kikamilifu.
-
Ethiopia yapinga azimio la Arab League kuhusu Bwawa la Renaissance
Jun 16, 2021 21:57Ethiopia imepinga na kukosoa vikali azimio lililopasishwa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu linalolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liingilie kati mgogoro juu ya Bwawa la al-Nahdha.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya maelfu ya watoto eneo la Tigray huko Ethiopia
Jun 11, 2021 22:21Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu hali mbaya na mgogoro wa makumi ya maelfu ya watoto katika eneo la Tigray huko Kaskazini mwa Ethiopia ambalo kwa sasa linasumbuliwa na njaa.
-
Ripoti: Watu 350,000 wamekumbwa na baa la njaa huko Tigray nchini Ethiopia
Jun 10, 2021 21:43Kamati ya ngazi ya juu inayoongozwa na UN ambayo inajihusisha na kutafuta majibu ya haraka kwa mizozo ya kibinadamu inakadiria kwamba, karibu watu 350,000 katika mkoa wa Tigray uliokumbwa na vita huko Ethiopia wanasumbuliwa na baa la njaa.
-
Wanajeshi wa Ethiopia wamejizatiti katika mipaka ya mashariki mwa Sudan
Jun 09, 2021 22:01Maafisa wa kijeshi wa Sudan wameripoti kuwa, wanajeshi wa Ethiopia wamekusanyika katika mipaka ya nchi hiyo na Sudan.
-
UN: Wanajeshi wa Kisomali wamehusika na mauaji ya kimbari ya Tigray
Jun 09, 2021 03:47Wanajeshi wa Somalia wanaopata mafunzo ya kijeshi nchini Eritrea wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya maelfu ya watu katika eneo la Tigray, huko kaskazini mwa Ethiopia.
-
Eritrea yailaumu Marekani kwa kuchochea mapigano Tigray, Ethiopia
Jun 08, 2021 03:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Eritrea amezilaumu tawala za Marekani kwa kuchochea mapigano na vita katika eneo la Tigray, la kaskazini mwa Ethiopia kwa zaidi ya miongo miwili sasa.
-
Abiy Ahmed: Bwawa la Renaissance litazifaidisha pia Sudan na Misri
Jun 07, 2021 08:22Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa ujenzi wa Bwawa la Renaissance utakuwa na faida si kwa nchi hiyo pekee bali pia kwa nchi za Misri na Ethiopia.