-
Ujasusi mpya wa serikali ya Marekani dhidi ya raia kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi
Jul 14, 2019 01:30Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani Serikali ya Federali ya nchi hiyo ilitunga sheria mpya za kudukua kumpyuta na mitandao ya intaneti ya raia ikisaidiwa na Kongresi kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Mwishoni mwa kipindi cha utawala wa Barack Obama zilifanyika jitihada za kupunguza udukuzi na operesheni hizo za ujasusi dhidi ya raia wa Marekani.
-
FBI yatahadharisha, wapinzani wa utawala wa Saudia wako hatarini kuuawa
Jul 13, 2019 21:48Polisi ya Federali nchini Marekani FBI imetahadharisha kwamba, wapinzani wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia na jamaa wa Jamal Khashoggi wanakabiliwa na hatari ya kuuawa.
-
Comey: Trump ni kidhabi, ameichafua taswira ya FBI
Dec 18, 2018 12:02Mkuu wa zamani wa Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI amesema Rais Donald Trump wa nchi amekubuhu kwa urongo na tabia yake hiyo imechafua taswira na hadhi ya FBI.
-
FBI yaonya kuhusu tishio la misimamo mikali ya Waafrika Wamarekani
Oct 08, 2017 10:51Shirika la upelelezi la Marekani FBI limeonya kuhusu kile kinachodaiwa ni tishio la misimamo mikali ya Waafrika Wamarekani au Wamarekani weusi.
-
Wazayuni washirikiana na Idara ya Upelezi Marekani FBI kudukua simu za Iphone
Mar 24, 2016 22:54Baada ya Shirika la Simu za Apple kukataa kushirikiana na Idara ya Polisi ya Upelelezi Marekani FBI katika kuifungua simu aina ya iPhone iliyotumiwa na mtu anayedaiwa kutekeleza mauaji San Bernardino, California mwaka jana, shirika moja la Kizayuni limepewa jukumu la kuifungua simu hiyo.