-
Jordan: Uturuki ndio muasisi wa misimamo ya kufurutu mipaka
Mar 26, 2016 02:07Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amesema kuwa Uturuki ndio chimbuko la misimamo ya kufurutu katika eneo la Mashariki ya Kati na bara Ulaya.
-
Algeria: Saudia ilimhonga dola milioni 2 Nabiil al Arabi
Mar 14, 2016 02:24Gazeti la al Shuruq la Algeria limefichua kwamba Saudi Arabia ilimhonga dola milioni mbili Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) Nabiil al Arabi kwa akiji la kupasisha muswada wa kuitambua harakati ya Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Jumuiya mbalimbali zaendela kulaani uamuzi wa Waarabu wa kuiweka Huzbullah katika makundi ya kigaidi
Mar 09, 2016 07:40Jumuiya na taasisi mbalimbali za kimataifa zimeendelea kulaani uamuzi wa nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudi Arabia wa kuitambua harakati ya Hizbillah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
-
'Kuitaja Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi ni njama ya Saudia'
Mar 07, 2016 02:04Mkuu wa Kamati ya Intifadha ya Quds nchini Iran amesema kuwa kuiita Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi ni njama iliyobuniwa na Saudi Arabia na Wazayuni kwa amri ya viongozi wa Israel.
-
Kuitangaza Hizbullah kundi la kigaidi, zawadi bora ya kuutunukia utawala wa Kizayuni
Mar 05, 2016 07:22Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani taarifa iliyotolewa karibuni na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC ya kuliweka jina la harakati hiyo kwenye orodha ya "mashirika ya kigaidi" na kueleza kwamba hatua hiyo imechukuliwa katika muelekeo wa pamoja wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel.