Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Gambia

  • Gambia kuimarisha hatua za kiafya kufuatia vifo vya watoto 66

    Gambia kuimarisha hatua za kiafya kufuatia vifo vya watoto 66

    Oct 09, 2022 02:56

    Akihutubia taifa kwa njia ya televisheni, Rais Adama Barrow wa Gambia ameeleza kuwa nchi hiyo itaimarisha hatua za kiafya ikiwa ni pamoja kudhibiti ubora wa dawa kutoka nje baada ya vifo vya kustaajabisha vya makumi ya watu nchini humo.

  • WHO yachunguza dawa za India baada ya watoto 66 kuaga dunia Gambia

    WHO yachunguza dawa za India baada ya watoto 66 kuaga dunia Gambia

    Oct 06, 2022 07:21

    Shirika la Afya Dunia (WHO) limetoa indhari kuwa, yumkini dawa aina nne za kukabiliana na kikohozi na mafua zilizotengenezwa na kampuni ya India ya Maiden Pharmaceuticals zimesababisha vifo vya watoto 66 nchini Gambia.

  • Ijumaa, Februari 18, 2022

    Ijumaa, Februari 18, 2022

    Feb 18, 2022 02:30

    Leo ni Ijumaa tarehe 16 Rajab 1443 Hijria sawa na tarehe 18 Februari 2022 Milaadia.

  • Rais wa Gambia awataka wapinzani waheshimu uamuzi wa mahakama

    Rais wa Gambia awataka wapinzani waheshimu uamuzi wa mahakama

    Dec 29, 2021 07:44

    Rais Adama Barrow wa Gambia ametoa mwito kwa upinzani nchini humo kukubali na kuheshimu uamuzi wa jana Jumanne wa Mahakama ya Juu ya nchi hiyo wa kutupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi kiongozi huyo.

  • Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Gambia, Barrow anaongoza kwa kura chache

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Gambia, Barrow anaongoza kwa kura chache

    Dec 05, 2021 05:47

    Rais wa Gambia Adama Barrow anaripotiwa kuongoza kwa kura chache katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumamosi nchini Gambia, kulingana na matokeo ya muda ya maeneobunge machache yaliyothibitishwa na Tume ya Uchaguzi.

  • Alkhamisi tarehe 18 Februari 2021

    Alkhamisi tarehe 18 Februari 2021

    Feb 18, 2021 02:35

    Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Rajab 1442 Hijria sawa na tarehe 18 Februari 2021.

  • Gambia: Wanajeshi wa Myanmar wailinde jamii ya kabila la waliochache la Rohingya

    Gambia: Wanajeshi wa Myanmar wailinde jamii ya kabila la waliochache la Rohingya

    Feb 04, 2021 07:57

    Gambia imebainisha wasiwasi wake kuhusu hatima ya Waislamu wa kabila la Rohingya wa Myanmar baada ya kujiri mapinduzi nchini humo.

  • Gambia yataka uchunguzi wa mauaji ya mtoto wa mwanadiplomasia nchini Marekani

    Gambia yataka uchunguzi wa mauaji ya mtoto wa mwanadiplomasia nchini Marekani

    Jun 04, 2020 04:46

    Serikali ya Gambia imeitaka Marekani ianzishe uchunguzi mara moja wa mauaji ya mtoto wa kiume wa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa nchi hiyo ya Kiafrika katika jiji la Atlanta, jimboni Georgia.

  • Watu 137 watiwa mbaroni katika maandamano dhidi ya Rais wa Gambia; wengine kadhaa wamejeruhiwa

    Watu 137 watiwa mbaroni katika maandamano dhidi ya Rais wa Gambia; wengine kadhaa wamejeruhiwa

    Jan 27, 2020 14:59

    Polisi nchini Gambia imewatia mbaroni watu 137 na wengine zaidi ya 24 wamejeruhiwa baada ya maandamano yaliyokuwa yakimtaka Rais wa nchi hiyo, Adama Barrow atimize ahadi yake ya kuondoka madarakani baada ya kukalia kiti cha urais kwa miaka mitatu kubadilika na kuwa machafuko.

  • Serikali: Tutamkamata na kumshtaki Yahya Jammeh akirejea Gambia

    Serikali: Tutamkamata na kumshtaki Yahya Jammeh akirejea Gambia

    Jan 21, 2020 07:41

    Serikali ya Gambia imetishia kumkamata na kumfungulia mashitaka rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeng'olewa madarakani Yahya Jammeh iwapo atatia mguu nchini humo kutoka uhamishoni Equatorial Guinea.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS