-
Rais wa zamani wa Gambia atuhumiwa kufanya mauaji dhidi ya wahajiri
Jul 25, 2019 02:40Rais wa zamani wa Gambia ametuhumiwa kwamba mwaka 2005 alitoa amri ya kutekelezwa mauaji ya umati dhidi ya wahajiri 30 pamoja na mwandishi mmoja wa habari.
-
Jumatatu tarehe 23 Julai, 2018
Jul 23, 2018 02:24Leo ni Jumatatu tarehe 9 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na 23 Julai, 2018.
-
Rais wa Gambia alifanyia mabadiliko baraza la mawaziri
Jul 01, 2018 07:22Rais Adama Barrow wa Gambia amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri sanjari na kumteua makamu wake mpya.
-
Maelfu ya wahajiri walioko Libya kurejea kwao Gambia
Mar 01, 2018 15:31Shirika la Kimataifa la Uhamiaji limetangaza kuwa shirika hilo lina mpango wa kuwarejesha kwao Gambia maelfu ya wahajiri waliokwama nchini Libya.
-
Gambia yawatia nguvuni majenerali wa Yahya Jammeh
Jan 23, 2018 08:18Jeshi la Gambia limewatia mbaroni majenerali wawili wa ngazi za juu wa utawala wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh.
-
Sisitizo la Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco la kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 17, 2018 14:53Wawakilishi wa nchi za Kiafrika za Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco wamesisitiza katika Mkutano wa 13 wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu (OIC) kupatiwa ufumbuzi matatizo yanayoukabili Ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana pia na utawala ghasibu za Kizayuni.
-
Gambia na Senegal kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi
Aug 23, 2017 04:20Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa nchi za Senegal na Gambia wametilia mkazo umuhimu wa kushirikiana nchi zao katika vita dhidi ya ugaidi.
-
China kuisaidia Gambia baada ya kukata uhusiano na Taiwan
Aug 02, 2017 08:10China imeahidi kuipa msaada Gambia baada ya nchi hiyo ya Kiafrika kukata uhusiano rasmi na serikali tya Taiwan.
-
UN yataka kuungwa mkono juhudi za kukabidhiana madaraka kwa amani nchini Gambia
Jul 18, 2017 07:40Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa magharibi mwa Afrika ameitaka jamii ya kimataifa kusaidia juhudi za kukabidhiwa madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia.
-
Senegal yaonya kuhusu hatari za kupinduliwa serikali ya Gambia
Jul 06, 2017 07:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Senegal ameonya kuwa ukosefu wa utulivu na machafuko yanatishia uwepo wa serikali mpya ya Gambia.